Nielewe
TID
paroles TID Nielewe

TID - Nielewe Lyrics & Traduction

Najua love nikufall one time 
When you love someone inakufanya ufahamu
Nini maana ya mapenzi ya adamu
Yaliyojawa nidhamu na upendo wa utamu

Baba nina mengi mimi nitakupa utaridhika
Tumevuka mabonde milima na mengi tutapita

Ndo nishakupa roho yangu yeah yeeah yeah
Nakuwachia moyo wangu heiyee 
Usijali we ni wangu baby 
Nitakupa kila kitu changu
Eeh eeh heiyee

Ah ah ah awoo, mi nataka unielewe
Ah ah ah awoo, we ndo baby you are my one and only
Ah ah ah awoo, mi nataka unielewe
Ah ah ah awoo, we ndo baby you are my one and only

Kama kwa moyo wangu upo kweli si utani
Ukinimiss nipe chapu Kinondoni
Yale ya majirani tuyaache pembeni my baby

Nahisi uwe wangu unikiss in the morning
In the evening, uwe baby wangu wangu
Milele uwe wangu unikiss in the morning
In the evening, uwe baby wangu wangu

Usijali we ni wangu baby 
Nitakupa kila kitu changu
Eeh eeh heiyee

Ah ah ah awoo, mi nataka unielewe
Ah ah ah awoo, we ndo baby you are my one and only
Ah ah ah awoo, mi nataka unielewe
Ah ah ah awoo, we ndo baby you are my one and only


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)