Anajua kunibembeleza
Kunifanya ka mtoto
Tena huwa ananidekeza
Penzi lake moto
Sioni wala kwake mi sisikii
Ananipa penzi lilotimia
Anafanya mpaka mi situlii
Akiondoka tu mi nampigia
Akiwa karibu, namkalia
Namlalia, ni noma tu
Namuaribu, nampatia
Anakamatia vinoma tu
Akiwa karibu, namkalia
Namlalia, ni noma tu
Namuaribu, nampatia
Anakamatia vinoma tu
Aaaaah, anafanya mi nadeka
Aaaaaah, eti nadeka
Aaaaaa, ndio maana mi nadeka
Aaaaaa, eti nadeka
Aaaaah, anafanya mi nadeka
Aaaaaah, eti nadeka
Aaaaaa, ndio maana mi nadeka
Aaaaaa, eti nadeka
Lake busu, akinipiga shingoni
Huwa laniwacha hoi
Kwake zuzu, sisiki na sioni
Akipachika sichomoi
Ananipenda nampenda
Ndio maana twaenjoy.
Fundi wa dendaa, nimesarendaa
Kwake sidondoki
Mahaba ya tele, ya tele
Akinipa misele, misele
Nalia kama kengele, kengele
Kwenye baiskeli, baiskeli
Akiwa karibu, namkalia
Namlalia, ni noma tu
Namuaribu, nampatia
Anakamatia vinoma tu
Akiwa karibu, namkalia
Namlalia, ni noma tu
Namuaribu, nampatia
Anakamatia vinoma
Aaaaah, anafanya mi nadeka
Aaaaaah, eti nadeka
Aaaaaa, ndio maana mi nadeka
Aaaaaa, eti nadeka
Aaaaah, anafanya mi nadeka
Aaaaaah, eti nadeka
Aaaaaa, ndio maana mi nadeka
Aaaaaa, eti nadeka
Mie nadeka aaaa
Nadeka Aaaaaa Aaaaah
Mahaba ya tele , ya tele
Akinipa misele, misele
Nalia kama kengele, kengele
Kwenye baiskeli, baiskeli
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)