Umekuwa Mwema
Matara The General
paroles Matara The General Umekuwa Mwema

Matara The General - Umekuwa Mwema Lyrics & Traduction

Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Mwema, mwema, mwema, mwema kwangu

Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, eeh mwema kwangu

Maishani mwangu nimeuona mkono wako
Kama si wewe sijui mimi ningekuwa wapi
Oh my God aki kudharauliwa na kuchekwa 
Nikafika mwisho tegemeo langu likawa ni wewe

Kwa sauti ya upole ukaniambia ukiniamini
Nitakufikisha pale mwanadamu hawezi kufikisha
Kama unaweza fanya yale unayoweza fanya
Yale huwezi niachie mimi

Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, eeh mwema kwangu

Hannah alipokuachia wewe usieshindwa
Hujawai shindwa huna sifa ya kushindwa
Ulitake over, umeniinua leo
Wanaulizana Mungu gani huyo

Umeniandalia meza mbele ya watesi
Ninakula na kunywa wakitazama kwa macho
Wanaulizana kweli ni yeye ama si yeye
Yesu umetenda wazi

Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, eeh mwema kwangu

Kilio chako ni cha mda tu
Mateso yako ni ya muda tu
Ukiomba kwa siri atajibu kwa wazi
Ni ushuhuda huo unaandaliwa

Usife moyo muamini Mungu
Tumaini baba yeye anakupenda
Yeye hachelewi wala hakawii
Anakuja wakati unaofaa 

Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, mwema kwangu
Umekuwa mwema kwangu, eeh mwema kwangu


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)