Ni kama nakosa pumzi
Maneno yanakwisha eeh
Nimeona mengi
Binadamu hawana mema eeh
Ni kama nakosa pumzi
Maneno yanakwisha eeh
Nimeona mengi
Binadamu hawana mema eeh
Chonde chonde roho yangu
Usifanye hasira initawale
Nionekane mbaya mimi eeh
Ona wanasema nanii
Kamtongoza nanii
Hata baada ya kuniibia haoni
Binadamu wabaya
Ona nabaki nalia na moyo wangu(Sana)
Wananitukana mpaka wezangu(Sana)
Nani aponye kidonda changu?
Mama Madini roho yangu
Nitavumilia tu(Kwa sana)
Mimi nitavumilia(Kwa sana)
Nitavumilia tu(Kwa sana)
Mimi nitavumilia(Kwa sana)
Nitavumilia tu(Kwa sana)
Mimi nitavumilia(Kwa sana)
Nitavumilia tu(Kwa sana)
Mimi nitavumilia ooh(Kwa sana)
Mama Madini anauliza
Mwanangu wapi wajukuu
Ila mitandaoni wanasema
Eti nimemtaliki mwanangu
Oooh ona maadui hawajalala
Wananipigia mpaka usiku
Eti handsome umekula?
Ndio kesho waseme seme
Na Mungu si athumani
Kuna wanaonipenda
Naomba msiniache
Chonde chonde roho yangu
Usifanye hasira initawale
Nionekane mbaya mimi iyee
Ona wanasema nanii
Kamtongoza nanii
Hata baada ya kuniibia haoni
Binadamu wabaya
Ona nabaki nalia na moyo wangu(Sana)
Wananitukana mpaka wezangu(Sana)
Nani aponye kidonda changu?
Mama Madini roho yangu
Nitavumilia tu(Kwa sana)
Mimi nitavumilia(Kwa sana)
Nitavumilia tu(Kwa sana)
Mimi nitavumilia(Kwa sana)
Nitavumilia tu(Kwa sana)
Mimi nitavumilia(Kwa sana)
Nitavumilia tu(Kwa sana)
Mimi nitavumilia ooh(Kwa sana)
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)