Eeeeeeh huh eeeeeh huh Neogechi heee
Ameghadhabishwa Neogechi heee sababu ya
Maovu yetu weeee Neogechi dhambi zetu eeeeeh Neogechi weee
wahubiri mko wapi Sasa Waimbaji mko wapi sasa
Wachungaji mko wapi sasa Walokole mko wapi Sasa Wakristo mko wapi Sasa nyinyi
Taifa inapoangamia x2 nchi yetu inapoangamiax2
Wametawanyishwa kwa jina langu Mimi
Naskia kilio Chao na kuiponya nchi yao heeex2
Uchikire uyaseyasene
Tuangamiza
Corona virus inatetemesha nchi
Corona virus yatikisha
Monera morere
Morangeiro morero
Wametawanyishwa kwa jina langu eeeeh
Naskia kilio chao na kuiponya nchi yao eeex2
Anasema kwamba anaskia kilio chetu na ataiponya nchi yetu
Macho yake yatafunguka na ataskia maombi ya watu wake
Watumishiii
Omba omba omba omba
Wahubiri mko wapi Sasa
Waimbaji mko wapi sasa
Walokole mko wapi Sasa
Wakristo mko wapi Sasa
Taifa linapo angamiax2
Nchi linapoangamiax2
Ghadhabu imewaka juu ya nchi hii
Nani akasaidia nani atatuponya sisi
Ni yeye tu Mungu Ni yeye tu Bwana
Serikali haina uwezo
Ni fungo Ni fungo Ni fungo Ni fungo
Acheni dhambi zenu nirudieni Mimi
Waimbaji nakuomboleza
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)