Bounce, bounce
Move your body shake
Just Bounce, bounce
Bounce, bounce
Move your body shake
Just Bounce, bounce
Hii ni party party situation
Kutana na Zee kitu full nation
Bad girl zizi kwenye motion
Speaker nazifanyia kitu abortion
Inama, bounce
Tikisa biggy body
Katika biggy body
Tikisa tako moja tena kichokozi
Katika biggy body
Katika katika katika
Katika beiby katika
Katika katika katika
The way you shake body
Shake body, rotate rotate
Whine your waist, whine your waist
Beiby shake body, beiby whine your waist
Beiby Stop!
Achana na mabisho wa kimboka
Watakubambia wakugeuze mboga
Cheza kama vile umerogwa
Ndo utingisike sio ngumu kama mbomba
Twerk twerk twerk twerk twerk
You see me I be twerk twerk twerk twerk twerk
Dada da da da da
You see me do me da da da da da da
Inama, bounce
Tikisa biggy body
Katika biggy body
Tikisa tako moja tena kichokozi
Inama, bounce
Tikisa biggy body
Katika biggy body
Tikisa tako moja tena kichokozi
Katika biggy body
Katika katika katika
Katika beiby katika
Katika katika katika
The way you shake body
Shake body, rotate rotate
Whine your waist, whine your waist
Beiby twerk your body, beiby whine your waist
Katika katika katika
Katika katika katika
Katika katika katika
Nyonga bwana
Jicheki nyuma ka unanesa
Changanya boko cheza kwasa
Eeeh mpaka tomorrow
Jikunje kunje kama nyoka
Sambaza mauno kama ugoka
Cheza kizembe ka umechoka
Eeeh mpaka tomorrow
Nyonga bwana
Jicheki nyuma ka unanesa
Changanya boko cheza kwasa
Eeeh mpaka tomorrow
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)