Forget
Tunda Man
paroles Tunda Man Forget

Tunda Man - Forget Lyrics & Traduction

Beiby mbona unayumba
Niko bize na itikali mi nasaka mavumba
Hunny mie mchumba
Huenda nikipata salary tutajenga hata nyumba

Wacha mi nihangaike
Kukikucha niteseke
Hali ngumu nimenyeke
Na ikibidi nidhalilike
Alafu kisha utaforget

Walahi utaforget
Nikizipata my beiby utaforget
Walahi utaforget
Nikizipata my beiby utaforget

Wacha niseme no one like you
Unanipa taabu
Mi napata ghadhabu
Nikiuza samaki kwa klabu
Kuna mengi unayohitaji na hupati
Na bado unanipenda kwa dhati

Wacha mi nihangaike
Kukikucha niteseke
Hali ngumu nimenyeke
Na ikibidi nidhalilike
Alafu kisha utaforget

Walahi utaforget
Nikizipata my beiby utaforget
Walahi utaforget
Nikizipata my beiby utaforget


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)