Nikoleze kama moto unipepee
Nasikia joto love
Nibemebeleze kama mtoto unitetee
Kwenye choko choko love
Papasa papasa kwenye mwili wangu
Nifanye malkia we ni king wangu
Nichezeshe chezeshe we ndo kocha wangu
Njye numva biri cool
Nivuruge, nivuruge
Vuruge, vuruge
Nikomeshe katika bed
Komeshe komeshe
Ooh beiby beiby nivuruge
Nivuruge nivuruge nivuruge
Nipe kitu roho inapenda
Nikomeshe nikomeshe nikomeshe
Waone! Waone! Waone!
Wanao ona donge waone
Waone! Waone! Waone!
Walee waone
Nyonga nyonga sokota
Sokota sokota nyonga
Nyonga nyonga sokota
Sokota sokota nyonga
Dozi dozi zimenipanda
Mganga zimisha manyanga
Wakome wachafu wakanda
Wapende vyenye wasivyopendaga
Kizai zai, sugar tea
Aliko, aliko
Sugar tea, bam bam
Bonge la dem(la dem)
Sipendi nikikuona ukicheza na shemu wako
Papasa kila sehemu
Usiogope kunishika niguse mi mali yako
Nivuruge, nivuruge
Vuruge, vuruge
Nikomeshe katika bed
Komeshe komeshe
Ooh beiby beiby nivuruge
Nivuruge nivuruge nivuruge
Nipe kitu roho inapenda
Nikomeshe nikomeshe nikomeshe
Waone! Waone! Waone!
Wanao ona donge waone
Waone! Waone! Waone!
Walee waone
Indirimbo ikaze
Niyanjye Sunny, Aslay
Rwanda na Tanzania twayizanye
Nahanyu mube ready heee
Nyonga nyonga sokota
Sokota sokota nyonga
Nyonga nyonga sokota
Sokota sokota nyonga
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)