Msinifuate fuate mimi ninaye Mungu
Msinifuate fuate ninaye Mungu
Msinifuate fuate mimi ninaye Mungu
Msinifuate fuate ninaye Mungu
Neema yangu si yako
Furaha yangu si yako
Usinifuate fuate, utaangamia
Baraka yangu ni yangu
Wala wewe si yako
Usinifuate fuate, utaangamia
Ukiniona nina magari
Kesho nina majumba
Usinifuate, utaangamia
Ukifuata kwa maneno
Ukifuata kwa husuda
Si yako, utaangamia
Bahati yangu ni yangu
Neema yangu ni yangu
Usinifuate, utaangamia
Kama mashariki
Ilivyo mbali na magharibi mama
Kadhalika mimi nawe hatutakaribiana
Neema yako ni yako
Yangu ni yangu
Usinifuate, utateketea
Msinifuate fuate mimi ninaye Mungu
Msinifuate fuate ninaye Mungu
Msinifuate fuate mimi ninaye Mungu
Msinifuate fuate ninaye Mungu
Msinicheke kwa ajili ya mapito ninayopitia
Msinifuate fuate ninaye Mungu
Ninachojua kilio huja usiku asubuhi ni furaha
Msinifuate fuate, mtapoteza bure bure
Msinifuate fuate maadui eeh
Pito ninalopitia Mungu anajua
Nimepitia vya kutosha weeh
Nimelia kilio ya kutosha mimi
Usifurahi juu yangu adui eeh
Ninapo anguka nitasimama tena
Usinicheke usinidharau weeh
Ninapo anguka mimi nitasimama tena
Msinifuate fuate mimi ninaye Mungu
Msinifuate fuate ninaye Mungu
Msinifuate fuate mimi ninaye Mungu
Msinifuate fuate ninaye Mungu
Yeye alianzisha kazi njema ndani yangu
Ataitimiliza aah
Si vizuri nawaona, mnaonifuata njiani
Yesu ni mali yangu
Lighorofa lao lilitokana na kubishana na Israeli
Mwisho wa siku waliangamia
Nasema kaeni mbali, na safari yangu
Msinifuate fuate, mtaangamia
Ya nini kujipa shida?
Ya nini kupoteza muda?
Pito langu ni langu weeh
Mtateketea
Ya nini kujichosha bure?
Ya nini kuvuja jasho?
Pito langu ni langu
Mtaangamia
Msinifuate fuate maadui kaeni chonjo
Msinifuate fuate, mtaangamia
Nimevishwa silaha, nimevishwa ushindi
Msinifuate fuate, mtaangamia
Mbingu zimeniamini
Mungu amenidhibitisha
Msinifuate, mtaangamia
Kwa nyote maadui zangu
Mnaofuata nyayo zangu
Msinifuate, mtaangamia
Msinifuate fuate mimi ninaye Mungu
Msinifuate fuate mtaangamia eeh...
Msinifuate fuate mimi ninaye Mungu
Msinifuate fuate ninaye Mungu
Tenaa....
Msinifuate fuate mimi ninaye Mungu
Msinifuate fuate ninaye Mungu
Ni kitole, kitole mundu wakwa weeh
Weweee, Kamba productions
Nabeba kubeba heavy weight
Hayayayayaya....
Pole sana tunaona hasara
Kwa wanaona tufuata nyuma
Kwa wanao tamani tamani
Kukanyaga vivuli vyetu
Aaah pole
Hasara tunaona hasara
Kwa wanaotufuata
Hasara tunaona hasara
Kwa wanaotufuata
Hasara kwenu mnaofuata nyayo zetu sisi
Kwa wanaotufuata
Hasara kwa wanaooanga kasoro
Kwa wanaotufuata
Hasara kwa wanao tusengenya bure bure
Hawajui kwamba Kasolo ni mtoto ya Mungu
Sisi ni mali ya Mungu, hatutishiki
Hasara na mutaweka kitole
Kwa wanaotufuata
Ni kitole, kitole mundu wakwa weeh
Kwa wanaotufuata
Watatembea peku wakiwa jangwani hasara eeh
Kwa wanaotufuata
Na nyayo zetu hamwezi mkakanyaga ni hasara
Kwa wanaotufuata
Ah neema yangu ni yangu huwezi wee hasara
Kwa wanaotufuata
Utamaliza miguu yako katika jangwa
Utamaliza pesa zako kusaka waganga eeh
Ona neema yangu ni yangu hakuna mwingine
Ona hasara, naiona hasara
Taabu, naiona taabu kwa wambeya
Ah hasara, naiona hasara
Na hasara kwa maadui zangu weeh
Hasara kwa wenye vijicho
Hasara kwa wenye fitina
Hasara wataumwa na hasara eeh,...eeh
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)