Ukiwa na Mungu manze utafurahi
Kwa maisha atakuwa anaku surprise
Uwe msoto ama sonko utahisi uko fine
Niko naye mwenyezi anarun my life
Asikuchoche shetani
Ati Mungu amependa wenye pesa
Mwenyezi Mungu ni mkweli
Na sote anatupenda
Asikuchoche shetani
Ati Mungu amependa wenye pesa
Mwenyezi Mungu ni mkweli
Na sote anatupenda
Kujeni twende
Twende kwa Mola tukae naye
Kujeni twende
Twende kwa Mola tuseme naye
Kujeni twende
Twende kwa Mola tukae naye
Kujeni twende
Twende kwa Mola tuseme naye
Kujeni twende
Kwa Yesu, kwake kila siku raha
Mambo sawasawa sawa
Kujeni twende
Economyiwe mbaya na biashara
Kujeni twende
Ata kama ndoa yenyu ilivunjwa jana
Asikuchoche shetani
Ati Mungu amependa wenye pesa
Mwenyezi Mungu ni mkweli
Na sote anatupenda
Asikuchoche shetani
Ati Mungu amependa wenye pesa
Mwenyezi Mungu ni mkweli
Na sote anatupenda
Kujeni twende
Twende kwa Mola tukae naye
Kujeni twende
Twende kwa Mola tuseme naye
Kujeni twende
Twende kwa Mola tukae naye
Kujeni twende
Twende kwa Mola tuseme naye
Kujeni twende
Mlango wa Mungu baba haujafungwa
Kujeni twende
Yesu pekee ndiye njia
Kujeni twende
Mizigo mizito anabeba
Kujeni twende
Magonjwa magonjwa anaponya
Kujeni twende
Kujeni twende eeh
Kujeni twende eeeeeh
Kujeni twende eeh
Kujeni twende eeeeeh
Kujeni twende eeh
Kujeni twende eeeeeh
Kujeni twende eeh
Kujeni twende eeeeeh
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)