Wacha kututisha na mtoo
Hizo ni tabia za utoo
Ati ju umekuwa kwa ukoo
Ati umeona mengi na hujapita kwa mchuom
Wacha kututisha na hiyo talk
Unajishasha ati ju sku hizi umegrow
Wengi wamekuja waka-go
Ungeporwa ni vile we unakuwanga brother in law
Wacha kututisha na mtoo
Hizo ni tabia za utoo
Ati ju umekuwa kwa ukoo
Ati umeona mengi na hujapita kwa mchuom
Wacha kututisha na hiyo talk
Unajishasha ati ju sku hizi umegrow
Wengi wamekuja waka-go
Ungeporwa ni vile we unakuwanga brother in law
Tizi fify fifty bila micen
Ambia gang yako hao ni my pet
Infact wanafaa wakuwe my pest
Hatujui law ka si commandment
Wakanje ndo watalola mandem
Galdem alinipenda all over sudden
Siku hizi boy wake anaonaga ukame
Mr Riz matire mi humchomaga za sare
Usijali kaniambia hao watoi wa highschool
Thats good mi sitambui his crew
Bloody fckn my dog my foot
Sorry for the language you know am fool
Tunaseti kimoja
Bro anatoka jela next week siwezi kungoja
Hali inafanya nifeel sitaki kuroga
Mahangline tunawapinji mashati na toja
Nimeskia wakisema ni manjangili
Hawajui kwetu mboka na ni mahungry
Usiwai niita bro na hii stress ka si family
Kujishusha pia haiwezi mi ni mdhamini
Looku ikikubali hadi kesho tunairemix
Nugu umetokwa na jasho juu ya Arimis
Napiga moshi mbili nikiwa hustle then nai dim it
Si lazima ucheki macho ujue niko riri
Aliiviwa na pagi ni ya ulafa
Watajua kuna ganji ikuwe maafa
Alafu wakicheza tunawatapa
Kupaka jina ya pili yetu inakuwanga mulla fcker
Otherwise si tunawamurder fasta
Rong rong rong ndio huwaga hashtag
Mtoto mdogo hujui hata kuoga rasa
Mtaa yenu ndani ndo si tunazoza haswa
Wacha kututisha na mtoo
Hizo ni tabia za utoo
Ati ju umekuwa kwa ukoo
Ati umeona mengi na hujapita kwa mchuom
Wacha kututisha na hiyo talk
Unajishasha ati ju sku hizi umegrow
Wengi wamekuja waka-go
Ungeporwa ni vile we unakuwanga brother in law
Wacha kututisha na mtoo
Hizo ni tabia za utoo
Ati ju umekuwa kwa ukoo
Ati umeona mengi na hujapita kwa mchuom
Wacha kututisha na hiyo talk
Unajishasha ati ju sku hizi umegrow
Wengi wamekuja waka-go
Ungeporwa ni vile we unakuwanga brother in law
Hawawezi pita kwetu wanaogopa NEMA
Tungewabakisha ila tumewaachia neema
Wasupa on the roll macarena
Kuna time hubidi nanunua ndom naacha dema
Alitaka Bima nikamshow askize Rema
Ka ana deni yetu tunamtokea mapema
Fact jo ni rahisi kusema
Mi ni mtu ma action ni rahisi kutenda
Yeah mbona unajifanya my friend
Corruption ndo ilifanya nikaspend
Nonsense hujui kitu ju ya hii game
Manchester United gunmen
Racist ndio kitu tuko united
Bado huja ripe friend
Kwa daro na ndae mi hukaaga backleft
Nikiwa field aki walai nilislap ref
Si lazima uambiwagwe we are the usual suspects
Wacha kututisha na mtoo
Hizo ni tabia za utoo
Ati ju umekuwa kwa ukoo
Ati umeona mengi na hujapita kwa mchuom
Wacha kututisha na hiyo talk
Unajishasha ati ju sku hizi umegrow
Wengi wamekuja waka-go
Ungeporwa ni vile we unakuwanga brother in law
Wacha kututisha na mtoo
Hizo ni tabia za utoo
Ati ju umekuwa kwa ukoo
Ati umeona mengi na hujapita kwa mchuom
Wacha kututisha na hiyo talk
Unajishasha ati ju sku hizi umegrow
Wengi wamekuja waka-go
Ungeporwa ni vile we unakuwanga brother in law
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)