Leo ni siku na ni day ya kutwerk(twerk)
Badala ya tu unasema tu tao
Nasifu dem mwana anayejua kutwerk(twerk)
Akitwerk boychild anambao
Rauka juu ka steam za kajeng jeng
Nikupe riba ka kamagera gefao
Paukwa eeh, pakawa aaii
Paukwa eeh, pakawa aaii
Hao madem wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame
Hao mangeus wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame
Na basi wainame(Aah wainame)
Aii basi wainame(Aah wainame)
Aii basi wainame(Aah wainame)
Si basi wainame(Aah wainame)
Msanduko ni kimbichwa si kingale
Masilver najitambua ka odinare
Kiumbang'a makushoto maumboko
Nina kangoko nakasesa kama koko
Niaje niaje ni champe wa makali
Si unajua mi nataka tu kinare
Ni wawashe hii nayo mtakubali
Cheki Dyna anawasha tu kingale
Nadai bong hii form nisha sare
Leo ni siku na ni day ya kutwerk(twerk)
Badala ya tu unasema tu tao
Nasifu dem mwana anayejua kutwerk(twerk)
Akitwerk boychild anambao
Rauka juu ka steam za kajeng jeng
Nikupe riba ka kamagera gefao
Paukwa eeh, pakawa aaii
Paukwa eeh, pakawa aaii
Hao madem wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame
Hao mangeus wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame
Na basi wainame(Aah wainame)
Aii basi wainame(Aah wainame)
Aii basi wainame(Aah wainame)
Si basi wainame(Aah wainame)
Piga flash na kuna vile nitaongeza shash
Buda basi na kuna vile nasaka bash
So utacatch na kuna vile nasaka cash
Nina shaba na kuna vile nitakinda kolo
Nadai paka, ona vile na ngwaa usogo
Msupa flat na thutha tuachie ong'ong'o
Nina njugu, ndula ndula kwa manyodo
Ni undugu mayengs unatema ngono
Pesa otas, sherehe usingizi wa pono
Mboko first, mroro si anataka ponwa
Leo ni siku na ni day ya kutwerk(twerk)
Badala ya tu unasema tu tao
Nasifu dem mwana anayejua kutwerk(twerk)
Akitwerk boychild anambao
Rauka juu ka steam za kajeng jeng
Nikupe riba ka kamagera gefao
Paukwa eeh, pakawa aaii
Paukwa eeh, pakawa aaii
Hao madem wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame
Hao mangeus wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame
Na basi wainame(Aah wainame)
Aii basi wainame(Aah wainame)
Aii basi wainame(Aah wainame)
Si basi wainame(Aah wainame)
Skia leo vile ma, aah nimekupangia
Hadi che ukilandi utachezea gear
Mi hupenda ile freno ukiwa umenikalia
Na ukistudy vile we huwa unatulia
Waithera wemwega, gatagati ka andu
Ngenaga we gwakwa ugithambia twindu
Gakena ukiigwa rwimbo weyohete retho
Ukainia wezere ginyaa ukaumia thande
Thande! Thande! eni Thande!
Hau!
Leo ni siku na ni day ya kutwerk(twerk)
Badala ya tu unasema tu tao
Nasifu dem mwana anayejua kutwerk(twerk)
Akitwerk boychild anambao
Rauka juu ka steam za kajeng jeng
Nikupe riba ka kamagera gefao
Paukwa eeh, pakawa aaii
Paukwa eeh, pakawa aaii
Hao madem wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame
Hao mangeus wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame
Na basi wainame(Aah wainame)
Aii basi wainame(Aah wainame)
Aii basi wainame(Aah wainame)
Si basi wainame(Aah wainame)
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)