Zzero Panya
Mungai Eve
paroles Mungai Eve Zzero Panya

Mungai Eve - Zzero Panya Lyrics & Traduction

Mungai Eve hapa nimekuja na Mikos Gang
Genge la mikosi bana
Mbogi ni mbaya mbogi inanuka
Na si fuaka mbogi rach
Mbomboclat

Umesota na bado unakataa
Ukiulizwa kwanini unakataa
Na sasa unataka ututukane (Matako nyinyi)
Ati nini? (Matako nyinyi)

Collabo na sisi huwezi fika bei
Ju design si huroga chunga kutega ulimi
Mass kwa ngotha buda mi ni sundisha
Ju design mu hulipuka naweza toka uchi puthul

Sina uwaganis bomboclat
Basi cheza na nyanyako kama unadai za kalongo
Manzi yako bado fala anajipigaga doom
Kubali umesota we ni bazu wa uduu
Chunga kubanja sana hivi ndo nitakudu

Nifinge manzi yako na vidole za miguu
Nimchape misumari---------**
Manzi yako alikuwacha ju huna nyama kwa **
Naeza kubudako ju mi ni ma**

Bills zako nilisettle na zile ngumi mbao
Verse ka tukule fare
Mbogi rach mbogi tu ni mbaya
Unajidai stima sisi ndo mawaya
Hukai mbao looku tu ni mia
Na kenye nakwambia tukipatana wewe utalia
Wewe ni panya nya nya nya
Na tumekuja na fire yayayaya
Yaani kimangoto yayayayaya
Kijana si ni kasoto yayayaya

Ati matako kuna hii fala huita matia tia
Nani kidole ni cha kati ya
Nilisikia ati hujui tu kukatia
Kucheza na si hapo ndo ulifanya hatia

Umesota na bado unakataa
Ukiulizwa kwanini unakataa
Na sasa unataka ututukane (Matako nyinyi)
Ati nini? (Matako nyinyi)

Mbona nakulipa na unajifanya mang'aa
Mafimbo tutakupiga utalia tu tosha
Alafu zikishika buda basi we toka
Vidole zangu zote zimejaa na majaba

Nijifanye mkulima kwani ganja farmer
Hadi twende Meru tukachanage majaba
Lawama nikishindwa kuja kuwamada
Gangsta kutokwa, kama ni diss jeshi haiwezi handle

Jina ni Zzero akili ni sufuri
Mtoto wa pastor, aah mi ni mrasta
Dark man napenda tu marasa
Shasha chwani na kurombosa akili

Umesota na bado unakataa
We panya mbogi inanuka
Mbogi ni mbaya, mbogi inanuka
Urudishe 20k Panya wewe


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)