Na jicho lako la kungu nitazame mimi
Ningekuwa Maxi ningekuwa Air themanini
Umenifanya mi famili
Mbeya ndani ya fungwa boxer
Mwambie shangazi naleta kosa
Penzi lako la moto eeh
La moto eeh
Penzi lako la moto eeh
La moto eeh
Wapenzi wawili tukiwa chumbani
Wote wakinitenga nimpende nani?
Naskia mjomba wako kakutafuta kukuweka ndani
Licha ya kufuga mbwa, kanunua na gun
Sa nacheza kabati, mbwa wanaopiga
Beiby piga kabati, ikibidi twende town trip
Utazunguka mpaka upate, wanaume tuko wachache
Wa kukupa kodi ya meza, na kununua mkate
Aah..nimba la kati nakaza, kangoma kati
Tangu sichana la wana, makwenu kwani?
Tukichoka msosi, mi faraghani
Kisha mamba visosi na ako orodhani
Oyaa, madem wa mjini hawako loyal
Oyaa, wakihongwa sio wachoyo
Oyaa, ma brother men hawako loyal
Wamemfanya Vanessa akaua moyo
Na jicho lako la kungu nitazame mimi
Ningekuwa Maxi ningekuwa Air themanini
Umenifanya mi famili
Mbeya ndani ya fungwa boxer
Mwambie shangazi naleta kosa
Penzi lako la moto eeh
La moto eeh
Penzi lako la moto eeh
La moto eeh
Usiulize kuhusu chanda
She got it from my mama
Usiulize kuhusu anga
Texas sio Alabama
Wakihisi kuwa ni danga, ushalitupa toka zama
Wakipima kwenye bamba, mabegi kama unahama
Achana na mawaster, watakutesa wako real
Ja-Japo mimi gangster, sina presha nikufeel
Ukiona nazebenza, ujue nasaka meal
Kuliko kosa pesa, bora nisake deal
Penzi safari, usiende stendi, nipe moyo wako mpenzi
Usionyeshe umenikariri kwenye ushenzi
Ficha cheshi weka pending, kwenye kisaka chenji
I can, I will, I must ka Doctor Mengi
Oyaa, madem wa mjini hawako loyal
Oyaa, wakihongwa sio wachoyo
Oyaa, ma brother men hawako loyal
Wamemfanya Vanessa akaua moyo
Na jicho lako la kungu nitazame mimi
Ningekuwa Maxi ningekuwa Air themanini
Umenifanya mi famili
Mbeya ndani ya fungwa boxer
Mwambie shangazi naleta kosa
Penzi lako la moto eeh
La moto eeh
Penzi lako la moto eeh
La moto eeh
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)