Fiti Sana
Moji Shortbabaa
paroles Moji Shortbabaa Fiti Sana

Moji Shortbabaa - Fiti Sana Lyrics & Traduction

Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana

Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na

Namsifu na kayamba ama rakatu
Niwe juu ya nduthi ama matatu
Yesu namba moja sio namba two
Nimesoma bibilia sio kanga tu

Eeh kwake sina noma sina wololo
Siko peke yangu siko sololo
Nipate kanisani si kwa ngololo
Na siingizi baridi siko wololo

Sitafuti tena,
Za shetani sitafuni nimetema
Nimezaliwa tena,
Mimi na Yesu hadi nilazwe pema

Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana

Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na

Yes I am, amenishow Agape Agape eeh eeh
Yes I am, hahesabu mara ngapi eeh eeh
Niko kwake, niko kwake sipigwi na ukame eeh eeh
Niko kwake, niko kwake watangoja ndo nihame eeh eeh

Nawapeleka na hii, kwa Yesu namaintain kama flight
Nawapeleka na hii, kwa Yesu namaintain kama flight
Nasitafuti tena, za shetani sitafuni nimetema
Nimezaliwa tena, nina Yesu hadi nilazwe pema

Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana

Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na

Fiti sana fiti sana
Sana na na na na
Fiti sana fiti sana
Sana na na na na

Oya nikufiti, nor kufiti kufiti
Sana na na na na
Oya nikufiti, nor kufiti kufiti
Sana na na na na

Fiti sana, fiti sanaa
Sana na na na na
Fiti sana, fiti sanaa
Sana na na na na

Oya nikufiti, kufiti kufiti
Sana na na na na
Oya nikufiti, kufiti kufiti
Sana na na na na

Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)