Ni tabibu wa karibu, tabibu wa ajabu
Na neema za daima ni dawa yake njema
Hatufai kuwa hai, wala hatutumai
Ila yeye kweli ndiye atupumzishae
Imbeni malaika sifa za Yesu bwana
Pekee limetukuka, jina lake Yesu
Dhambi pia na hatia ametuchukulia
Twenendeni na amani, hata kwake mbinguni
Uliona damu jina la Yesu kristo bwana
Yu na sifa kwenye kufa asiishidwe na kufa
Imbeni malaika, sifa za Yesu bwana
Pekee limetukuka jina lake Yesu
Kila mume asimame, sifa zake zivume
Wanawake na wasiiche kusifu jina lake
Imbeni...
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)