Nakushukuru Mungu, nakushukuru Mungu
Asante Yesu, Asante Yesu
Nakushukuru Mungu, nakushukuru Mungu
Asante Yesu, Asante Yesu
Yesu, Yesu wangu, Yesu
Machozi ya furaha yananitoka
Machozi ya shangwe yananitoka
Jana nililia machozi ya uchungu sana
Jana nililia machozi ya mateso sana
Lakini leo nalia machozi ya furaha
Leo natoa machozi ya furaha
Mahali umenisaidia niseme nini?
Mahali umenivusha niseme nini mimi?
Jana nilipiga magoti kwa ajili ya maombi
Leo napiga goti langu baba ninakushukuru
Jana niliomba sana haaa
Na leo ninakushukuru sana haaa
Umbali umenileta wewe ni Ebenezer kwangu
Umbali umenileta wewe ni Bwana wa mimi
Nakushukuru Mungu, nakushukuru Mungu
Asante Yesu, Asante Yesu
Nakushukuru Mungu, nakushukuru Mungu
Asante Yesu, Asante Yesu
[Boaz K]
Nilipopita kwenye bonde ulikuwa nami
Nilipopita kwenye bonde ulikuwa nami
Safari ilipokuwa ndefu ulikuwa nami
Safari ilipokuwa ndefu ulikuwa nami
Kila dua niliyopiga ulikuwa nami
Kila dua niliyopiga ulikuwa nami
Asante Yesu, Asante Mungu
Mi nashukuru kwa neema yako
Nakushukuru Mungu, nakushukuru Mungu
Asante Yesu, Asante Yesu
Nakushukuru Mungu, nakushukuru Mungu
Asante Yesu, Asante Yesu
[Boaz K]
Umekuwa mwema kwangu niseme nini
Umekuwa msaada kwangu niseme nini?
Uinuliwe Jehovah upewe sifa
Wengi walishasema eti mimi siwezi
Wengi walishasema eti mimi siwezi
Kwa neema zako, kwa neema
Mimi sijui ulinitoaje
Kwnye lile shimo (Yesu)
Sijui ulininasua vipi
Kwenye mtego (Yesu)
[Martha Mwaipaja]
Nimejikuta tu niko salama aha
Nimejikuta tu mimi nimepona
Hata nikiulizwa kwa nini nimeinuliwa
Wakiniuliza mbona Martha umeinuliwa
Sina hata cha kusema nimejikuta niko hivi
Yesu umenishangaza (Yesu)
Nakushukuru Mungu, nakushukuru Mungu
Asante Yesu, Asante Yesu
Nakushukuru Mungu, nakushukuru Mungu
Asante Yesu, Asante Yesu
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)