paroles Madini Classic Ado

Madini Classic - Ado Lyrics & Traduction

Ni Madini Classic, King Kaka
(Magix enga on the beat)

Tayari niko maji
Mtoto amenilowesha lowesha hey
Ananimaliza wee
Akinikamata kamata kachiri we mwewe

Nikisinzia ni yeye (Mama unanifit)
Nikiamka ni yeye (Mama unanifit)
Aki walahi mama ni wewe (Mama unanifit)
Anayeniweza ni wewe (Mama unanifit)

Inama ni kama unazima mshumaa
Hebu rotate baby chuchumaa
Nipande mtungi mali ya umma

So baby come closer, iye iye
Usiogope mami rombosa
Mmmh ado ado, ado ado ado 
Mmmh ado ado, ado ado ado 

[King Kaka]
Niko ndethe hio ndo entry ya tamasha
Leo utaiona ka Tanasha
Washa sukari ipasuke ulimi kashata
Karibia nina magnet kwa roho

Mastingo hazijuani aligo pro na
Moto ikichoma ipulize alcoblow
Niko na mkombero ngoja nifinish njugu
We ni otero unanifinish nguvu

Mti ikikuwa sana mami pige shock shock shock
Uko maji nilete stima ikupige shock
Piga ka adui nitakupiga ka sikujui
Na nakasirika Joe Muchiri picha akilike
Usisalimiwe akiambia boss I need to fight

Mmmh ado ado, ado ado ado 
Mmmh ado ado, ado ado ado 

Nikisinzia ni yeye
Nikiamka ni yeye
Aki walahi mama ni wewe
Anayeniweza ni wewe

Nikisinzia ni yeye
Nikiamka ni yeye
Aki walahi mama ni wewe
Anayeniweza ni wewe

Inama ni kama unazima mshumaa
Hebu rotate baby chuchumaa
Nipande mtungi mali ya umma

So baby come closer, iye iye
Usiogope mami rombosa
Mmmh ado ado, ado ado ado 
Mmmh ado ado, ado ado ado 


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)