Niuwe
Lava Lava
paroles Lava Lava Niuwe

Lava Lava - Niuwe Lyrics & Traduction

Ana shepu Buffalo
Mwendo Kama Hakanyagi Chini (Hakanyagi Chini)
Njonjo Kangaroo
Kafungasha Double Kibini (Double Kibini)
Anaguu la beer Tende
Kifuani Dodo Embe
Kipotable Dayna Nyange
Akitembea Ndembe Ndembe
Yani Kama Mzembe
Mambo Yote Paambe

Eenh Okotaaa
Usiogope Okotaa
Eeeh Okota
Inama Inama
Eenh Okotaaa
Usiogope Okotaa
Eeeh Okota
Inama Inama

Niuwe!! Niuwe!!
Niuwe!! Mama Niuwe
Niuwe!! Niuwe!!
Niuwe!! Mama Niuwe
Niuwe!! Niuwe!!
Niuwe!! Mama Niuwe
Niuwe!! Niuwe!!
Niuwe!! Mama Niuwe

Kanabinua binu
Kanabinua mugongo
Kanabinua binu
Kanabinua mugongo

Kiuno Sakata
Nizame Topeni Nisafishe Dimbwimbwimbwi!
Mtoto Prakata kiuno Shanga Cheni
Kishundu Mbwimbwimbwi!!!
Cheza Nikuonge Verosa (Aaaah Verosa!!)
Shaku Shaku Shogorosa (Shogorosa!!)
Uganda Maria Rosa (Aaaah Rosa!!)
Lagos Dance Makosa (Dance Makosa!!)

Eenh Okotaaa
Usiogope Okotaa
Eeeh Okota
Inama Inama
Eenh Okotaaa
Usiogope Okotaa
Eeeh Okota
Inama Inama

Niuwe!! Niuwe!!
Niuwe!! Mama Niuwe
Niuwe!! Niuwe!!
Niuwe!! Mama Niuwe
Niuwe!! Niuwe!!
Niuwe!! Mama Niuwe
Niuwe!! Niuwe!!
Niuwe!! Mama Niuwe

Kanabinua binu
Kanabinua mugongo
Kanabinua binu
Kanabinua mugongo
Kanabinua binu
Kanabinua mugongo
Kanabinua binu
Kanabinua mugongo


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment