Kwa hisi anaona
Nikifumba macho yangu
Tena tena mazuri mengi
Mungu aniwazia
Ya njiani yananitisha
Hata hunirudisha nyuma
Namkosea Mungu na watu
Hainifurahishi kabisa
Naomba niombee
Rafiki niombee
Na moyo unauma
Mbona hivi, naumia
Sipendi nikosee
Na moyo uumie
Yaiteni mapito
Mbona hivi, naumia
Sina hofu na nilivyoanza
Ninawaza nitamalizaje
Ulificha mambo mambo ya kesho
Ya kesho nipe mwisho mzuri
Naomba niombee
Na mi niwe mtu mwema
Nimpendeze Mungu na watu
Niwe wako bwana milele
Naomba niombee
Rafiki niombee
Na moyo unauma
Mbona hivi, naumia
Sipendi nikosee
Na moyo uumie
Yaiteni mapito
Mbona hivi, naumia
Naomba niombee
Rafiki niombee
Na moyo unauma
Mbona hivi, naumia
Sipendi nikosee
Na moyo uumie
Yaiteni mapito
Mbona hivi, naumia
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)