Hapo ndipo
Hapo ndipo sauti ikaskika kutoka juu
Ikisema
Ikisema huyu mwanangu wa pekee
Eeeh msikilizeni, msikilizeni
Msikilizeni, msikilizeni
Father God me love you dearly
That's why me I praise you daily
Talanta umenipa me I don't take it lightly
You are great you are Almighty
Eeey ukanitoa kwenye devil's jail
Ukazivunja hizo devil's chains
Uka-take away my pain
You are great let your name be praised
So ukicheki nikidance ni ye amenipa chance
Ni ye amenipa chance na akanipa fans ndo mi na-give thanks
So ukicheki nikidance ni ye amenipa chance
Ni ye amenipa chance na akanipa fans ndo mi na-give thanks
Hapo ndipo
Hapo ndipo sauti ikaskika kutoka juu
Ikisema
Ikisema huyu mwanangu wa pekee
Eeeh msikilizeni, msikilizeni
Msikilizeni, msikilizeni
When you have Jesus you will never go wrong
When you have Jesus you will never go down
When you have Jesus you woun't suffer for long
Ye hawezi kukuwacha solo
You never beg a man huwezi borrow
Ye ndo ana own masilver na magoro
Anakuinua ukiwa solo
Anakupa wisdom ka King Solo
Mungu ni mwema please tell somebody
Tell somebody
Mshow asisahau kuomba ngware
Kuomba ngware
Hapo ndipo
Hapo ndipo sauti ikaskika kutoka juu
Ikisema
Ikisema huyu mwanangu wa pekee
Eeeh msikilizeni, msikilizeni
Msikilizeni, msikilizeni
Akamtoa mwana wake wa pekee
Aje duniani nisipotee
Akamtoa mwana wake wa pekee
Aje duniani anitetee
Akamtoa mwana wake wa pekee
Akamtoa mwana wake wa pekee
Mungu ni mwema please tell somebody
Tell somebody
Mshow asisahau kuomba ngware
Kuomba ngware
Hapo ndipo
Hapo ndipo sauti ikaskika kutoka juu
Ikisema
Ikisema huyu mwanangu wa pekee
Eeeh msikilizeni, msikilizeni
Msikilizeni, msikilizeni
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)