ExtraWanjanja
Eric Omondi feat Mulamwa
paroles Eric Omondi ExtraWanjanja

Eric Omondi - ExtraWanjanja Lyrics & Traduction

[Erick Omondi]
Ayee nyumba imebamba
Erick Omondi in addi area kumechacha
Karibuni kwa wale extra wanjanja
Mulamwah alipofika alifunika eeeh

[Mulamwa]
Nikaja na madrama
Na long'i yangu ya Telenovela eeh
Nikasunda mizinga
Na bado nyuma niko na mapera eeeh

Wakaita polisi
Kumbe polisi pia ni mpishi eeh
Wakaficha msosi
Wakanipata na dishi kwa friji

[Erick Omondi]
Ayee nyumba imebamba
Erick Omondi in addi area kumechacha
Karibuni kwa wale extra wanjanja
Mamitto alipofika alifunika eeeh

[Mammito]
Ayee, wakaja na chapati
Wakanipata ninapiga pasi eeh
Wakaja na mahindi
Wakanipata nishapika maini eeh

Hii nywele ya farasi
Ninazipiga pasi ya makasi
Panguza makamasi 
Na pesa kumbe ni makaratasi

[Erick Omondi]
Ayee nyumba imebamba
Erick Omondi in addi area kumechacha
Karibuni kwa wale extra wanjanja
Kartelo alipofika aliperemba eeeh

[Kartelo]
Wakakuja na simu
Na kumbe mimi niko kazini eeh
Wakaja na makiki
Lakini mimi nazisunda kwa wiki eeh

Na wakianika(Tunaanua)
Na wakifunika(Tunafungua)
Na wakianika(Tunaanua)
Na wakifunika(Tunafungua)

Ayee nyumba imebamba
Erick Omondi in addi...

[Kartelo vs Police]
'Wewe nyamazisha hiyo'
'Kata hiyo muziki kabisa, kabisa kabisa'
'Wewe kijana wewe unaitwa nani?'

'Mimi unaeza niita Kartelo ama unaeza niita kwako
'Mbogi ni Kimonyoski, Hitilafu Sacco in addi area'

'Cheki njege mi nimeskia hapa kuna rieng'
'Nikaskia hapa hivi kuna ndogogio, kuna keroma'
'Me na nikaamua na mbogi yangu tuingizie ina-'

'Tuingizie inadi, sindio alafu ...'

'Wewe kijana ngoja'
'Kwani uko na jina kubwa hivyo'
'Kama Kesi ya Goldenberg'

'Siivyo njege skiza, me adi sina mbaya mbaya'

'Na hii simu yote umebeba unapeleka wapi? Simu yote'

'Sasa unacheki me nilicheki Rieng'
'Nikacheki hapa hivi wasee'
'Wana mokiha na tumatumbo, Unacheki?'
'Alafu Nyamba ninuse akaniambiaa'
'Unacheki, hizi mamokiha zao hazina charger'
'So ndo nimeingia hivyo na kina Nyamba ninuse na'
'Sammy Mpenda Magwati kwanza tukawaeke charge'
'Unacheki, eeeh'

'Aii, hapo sawa'
'Lakini wewe ni kijana yangu'
'Kijana unanipeleka na Rieng'
'Weka hiyo ngoma tucheze na mbogi bwana'
'Finya hiyo kitu bwana, finya play'

Ayee nyumba imebamba
Erick Omondi in addi area kumechacha
Karibuni kwa wale extra wanjanja
Mulamwah alipofika alifunika eeeh


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)