What's up Jegede
My broda I'll be killing dis
What's up Jegede
Yeah cheki
Cougar anafanya mdhani 2pac amerudi
Nacapture funs from oyugis to Nairobi
Kwastreet mbele mi ndo uwanga Mr Ruby
Na mziki si kelele ni mvuto na sarufi
Mziki ni talanta na hatutaki kasiriko
Mziki ni baraka mi ndo huwanga Chicharito
Kutwa na sadaka mi ndo Keriako Tobiko
Jikaze acha pang'ang'a ndo mtafika niliko
Don't cross me I'll embarrasse your career
Bible verse King James mi ndo huwanga Zacharia
Ok basi kwenye game nani fundi wa macareer
Nilipata town ikiwa empty ndo kwa maana naikalia
What's up Jegede
My broda I'll be killing this
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)