Naringa
Zuchu
paroles Zuchu Naringa

Zuchu - Naringa Lyrics & Traduction

Sing mmmhh eeeehh
Let sing, comeon eeh

Sioni aibu, kwa kila linalonifika
Mana kukosea ni wajibu
Mola ameshaandika
Na sianguuki, mimi nimechaguliwa
Nnae mtegemea hachooki
Hajawahi kupitiwa
Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
Vinanipa ujasiri
Nakua gado kamili
Ukitaka kunidhuru mie
Upite kwakwe kwanza
Mungu wangu halali
Ana ulinzi mkali
Na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa
Nalindwa na mungu
Msinione navimba navimba navimba navimba navimba
Nalindwa na mungu

Raise your glass
Cheers to the Lord

Roho mbaya ubinafsi hajaumbiwa nyungunyungu
Wala mtu mwenye maarifa
Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu
Mtayasema nikifa aaeh
Unaniona napamdana, kwa tabu na dhoruba
Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng'o
Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa
Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa rohoo
He
Na sianguuuki mimi nimechaguliwa aahh
Nnae mtegemea hachooki
Hajawahi kupitiwa
Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
Vinanipa ujasiri
Nakua gado kamili
Ukitaka kunidhuru mie
Upite kwakwe kwanza
Mungu wangu halali
Ana ulinzi mkali
Na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa
Nalindwa na mungu
Msinione navimba navimba navimba navimba navimba
Nalindwa na mungu


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment