(Wasafi)
(L-L-L)
Oh-oh (he-he), oh-oh (he-hee), oh-oh (he-hee)
Oh-oh (he), oh-oh (he, iyeh), oh-oh (ooh-ooh-ooh, heh!)
(Mr. LG)
[Zuchu]
Nitaimba, nitacheza, nitashangilia
Mataifa kwa mataifa nitahadithia
Umenifanya kichwa wala sio mkia
Mataifa kwa mataifa nitahadithia
[Zuchu]
Hii ni mvua ya baraka
Mvua ya baraka
Baba bariki wengine sasa kwangu inatosha
Hii ni mvua ya baraka
Mvua ya baraka
Baba bariki wengine sasa kwangu inatosha
[Diamond Platnumz]
One, two, zungusha donyoa (weka)
Bonge la Zuchu chu chu chu
One, two, ah!
Ni mengi sana, mimi umenitendea
Hata maneno hayatoshi kuelezea
Na walipofunga dirisha, ulifungua milango
Tena ukahakikisha nafanikiwa mipango
Ooh, asante, sasa napata mkate
Japo rafiki wachache, ila mambo mwake mwake
Ooh, asante, sasa napata mkate
Hata mameneja wachache, ila mambo mwake mwake
[Diamond Platnumz & Zuchu]
Ooh, Baraka, hii ni mvua ya baraka
Kweli mvua ya baraka
Mvua ya baraka
Hii ni mvua ya baraka
Mvua ya baraka
Baba bariki wengine sasa kwangu inatosha
Hii ni mvua ya baraka
Mvua ya baraka
Baba bariki wengine sasa kwangu inatosha
[Diamond Platnumz & Zuchu]
One, two, zungusha donyoa (weka)
Hey! Ajijijijiji, hiya
Hapo hapo
One, two, zungusha donyoa
Anakuja sasa, anasema mumpishe
Anacheza sasa muache msimshike
Anakuja sasa, anasema mumpishe
Anacheza sasa, muache msimshike
Cheza, cheza, cheza, cheza, cheza, cheza, cheza, cheza
Cheza, cheza, cheza, cheza, cheza, cheza, cheza, cheza...
Ni mama na babake Sandrah
(Kamix Lizer)
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)