Naalia mambo ni mengi
Sipati jibuu
Naumia visa ni vingi
Maajaribuu
Silali(Haiya)
Nasinziaa kutwa nawaza waza
Hatarii nitajifia
Yaani nawaza waza
Haya haiyaaiyaa (Moyo nina moyo)
Hayaa ah haiyaiyaiya ha(Nna moyoo)
Hanipi mapenzi ataka nimpe yeye(Moyo we nna moyo)
Hanilishi nishibe ataka ale yeye
Usingizi sina
Usingizi sina
Usingizi sina
(Sina sina)
Usingizi sina
Matanga na mimi
Mi na matanga ka popo
Usingizi sina
Hivi ni nani mwenye penzi
La dhati nimpokee(Nimpokee)
Aso kisirani nikivunja
Masharti atanisamehe(Atanisamehe)
Kama yule Sesi na Juma
Hamisi na Mwajuma, wana enjoy
Asiwe kapasta na suma
Chaku nunanuna, sitaenjoyy
Haya haiyaaiyaa (Moyo nina moyo)
Hayaa ah haiyaiyaiya ha(Nna moyoo)
Hanipi mapenzi ataka nimpe yeye(Moyo we nna moyo)
Hanilishi nishibe ataka ale yeye
Usingizi sina
Usingizi sina
Usingizi sina
(Sina sina)
Usingizi sina
Matanga na mimi
Mi na matanga ka popo
Usingizi sina
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)