Genge genge, mi nalifeel si genge
Genge genge, kwa ndugu na jirani
Genge genge, nalifeel si genge
Genge genge, unaogopa jamaaa
Kwachu kwachu, pachu pachu
Kila siku badu badu
Umoja wa genge ni kwangu
Peku peku tena bila viatu
Na kibwebwe kiunoni
Umoja wa genge ni kwangu
Nilijua ni wenzangu
Kumbe ni adui zangu
Walimwengu hulka haina dawa
Kutwa maneno mengi gengeni
Stori nyingi jamani
Kulipa pesa foleni
Ah lipeni madeni
Genge genge, mi nalifeel si genge
Genge genge, kwa ndugu na jirani
Genge genge, nalifeel si genge
Genge genge, unaogopa jamaa
Mbona wanauliza la
Y naringia nini
Wakataka ukate pole china li ndani
Kukopa vibiringanya
Wale wanazuru nini
Ila maneno maneno
Wanadamu wamezoea
Hata ufanya nini, hutoa ubaya
Ah hapa gengeni kutwa kujikalia
Kwa stori za ngoma vijora ni haswa
Genge genge, mi nalifeel si genge
Genge genge, kwa ndugu na jirani
Genge genge, nalifeel si genge
Genge genge, unaogopa jamaaa
Ah mtaa wa tatu amechambwa mtu (Amechambwa)
Mtaa wa tatu amechambwa mtu
Ah mtaa wa pili amechambwa mtu (Amechambwa)
Mtaa wa pili amechambwa mtu
Ah mtaa wa kwanza amepiwa mtu (Amepigwa)
Mtaa wa kwanza amepigwa mtu
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)