Riziki ya mafungu saba
Ila huenda la kwangu halijatimia ah mmh
Wanasemaga haba na haba nitajaza kibaba
Siku yangu ikiwadia aah mmmh
Nimesikia we si wangu tena
Na huko ulipo nakuombea salama
Wema usijapo pema, ukipema
Si pema tena
Nachokumbuka una siri zangu
Huko ulipo naomba unitunzie
Binadamu na madhaiifu yangu
Yale ya ndani naomba unifichie
Mi sikulaumu, sikulaumu
Mi sikulaumu, sikulaumu
Mi sikulaumu, sikulaumu
Mi sikulaumu, sikulaumu
Mungu hamtupi mja wake
Najua iko siku nitapona
Nitapata afadhali
Na mimi atanitunuku karama
Nitapata mtu wa maana ah
Wa kunitoa gizani
Akanipa dhamani
Nikapata amani
Akanijaza moyoni
Kunifumba na mboni
Wa kunipa tumaini
Nachokumbuka una siri zangu
Huko ulipo naomba unitunzie
Binadamu na madhaiifu yangu
Yale ya ndani naomba unifichie
Mi sikulaumu, sikulaumu
Mi sikulaumu, sikulaumu
Mi sikulaumu, sikulaumu
Mi sikulaumu, sikulaumu
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)