Interlude Nyeusi
Weusi
paroles Weusi Interlude Nyeusi

Weusi - Interlude Nyeusi Lyrics & Traduction

Huna credit mtaa umezima data
Hufiki wami mzee mwisho mkata
Najua una vina ila vina ukata
Vibao vya weusi watoto vibao kata

Nipo na macrates kwa baa wanayumba haswa
Kwetu mbembeanga kwetu simba kapakatwa
Contract killer nobody safe topshatta
Hatutake on twala linki kwa masaka

Wavivu wa kuchimba mtakunywa maji taka
Tupeni vitiki tunapiga tikitaka
Tupo maghettoni tunacheka Chris Kaka
Udaku na meide ndo tumefika hapa

Tunauza na mziki mnauza na mwili pia
Nazo picha za utupu mnajibrand dear
Sitaki hizo meza zenye offer za bia
Kama mipango hamna mi nawakatia

Mnachopenda kona tukipiga makasia
Wanafiki mlale salama naweka mpaka njia
Mkiacha kukamia mtaanza shika mia
Ukila na wakubwa sijakufakamia

Tunaset bars ingia mtaa kwa mtaa
Singo zimetosha album ziingie kitaa
Uliimba nyimbo gani tena mbona kichaa
Unamzungumzia nani wewe ni hizi namba

Au ndo wale wale wewe niko najipanga
Hio hamna ni stori bingwa wa kujieleza
Na huyu naye mbishi mbona kama Nikki
Mjanja tunasupply yeye hafiki

Sisi tunaweka levels mziki na upimp
Mziki ni audio au video unauliza
Huyu naye mune mule, kila siku vile vile
You all sound the same mnaimba vile vile

Hamna jipya kiki zenyu ni zile zile
Hamna MC kwenye mic saa hizi
Singo haijaisha Insta unataka kutizi
Mapicha picha ndo kitu mnauza sikuhizi

Baba wa hardcore tamani mzibe koo
Kweli hardcore kilingi ka kikoo
Baba wa hardcore nawaaga kisoo soo
Na leo nawachana hamna nafasi kubanana
Fake kwa wasichana kwa kina mama pata laana
Wallet tunapanda mbele yetu hungoi mwana
Chupi ndo inabana hewani haujanilipa bana

Am a big nichi, dem dichi simweki ndichi
Mi ni ticha nikivua sipigi mbichi
Na siachi pengo nikifa nishaziba nchi
Niite saa wasalimie masnichi
Naskia kutushusha mmekulania
Okay sisi tunakula bia
Mko far tupo near
Na msipokaza tutawakazia

Wana tungo nyingi zimekosa manii
Hazitungi mimba hawashiki manii
Tukipigwa kiss wanakisirani
Wenye kismati tupo kisimani

Dem kama sio mkali anakamia
Ukiona mwana anajisifu ana kibamia
Ndoto yako kama huioti umeilalia
Moja yako kama haikai umeikalia

Sipigi tena shuti siku hizi ni visigino
Sina watu feki tabasamu ni original
Tukutane benki ni macheki namwaga wino
Mambo ni ufundi kawa jina langu Robinho

Mnunulie nguo tutamvua akishavaa
Tukishasimama tutasema baby kaa
Na tukishachoka tutapanda lako kaa
Endelea kuvimba ukipita kwa kitaa

Msinikonye upe kama sina lowa
Papa don mwamba wanasaka madoa
Wanaulizia ndoa papa zinaloa
Kapa nawatoa kapa ni kutoa

Mambo ni ya moto hakuna kupoa
Kuku wanataga pale wanatutoa
Nachukua mazaga naenda kupoa
Beat linasaga flow zinakoboa

Geu juu ya turu
Kuchafu nitokako uliza waturu
Na kuhusu kuwamada sina shaka zulu
Na ukiingiwa mashaka jua ushajihuzuru
Hoi ka umepigwa drip za mololo
Hawatii mikono, mikono mfololo
Na kwa hii mikono kujeni msororo
Hapa majembe yanatii mi ndio sururu

Kata wenge misibiji husha hatia tia
Ukiulizwa ni nani alikudondosha ni Rapcha
Nchi hii ni kama ile mipacha
Tunavyowaondoa kwenye ramani jipacha
Watamaduni si ndo tunatunza hii culture
Wape habari wachuuzi halivuji pakacha
Malalamiko mingi mnaleta utata
Mcees wenu wakali tunapiga msasa


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)