Eh Mungu asante
kwa nchi yetu Tanzania (Asante)
Ni wewe uliyeumba mataifa yote
Ikiwemo Tanzania
Umetubariki umoja na amani
Uzalendo mshikamano
Kama bendera inavyopepea
Ni ishara ya kwamba Tanzania ni ya amani
Ni wewe uliyeumba ndege na wanyama
Bahari na uoto wa asili na milima
Ukatupa amani na uhuru Tanzania
Ukatupa ujasiri, na viongozi mahiri
Najivunia kuwa Mtanzania(Najivunia mtanzania)
Najivunia kuwa Mtanzania (Mtanzania halisi eeh)
Najivunia kuwa Tanzania
Najivunia kuwa Tanzania (Nchi nzuri salama)
Nchi yangu
Amani tuliyonayo ooh
Wengine hawana (Hawana)
Umoja tulio nao
Wengine hawana (Hawana)
Hata madini ya tanzanite
Huwezi pata mahali pengine
Nje ya Tanzania hakuna
Mlima mrefu Kilimanjaro
Baraka ya Tanzania
Tunajivunia eeh
Ni wewe uliyeumba ndege na wanyama
Bahari na uoto wa asili na milima
Ukatupa amani na uhuru Tanzania
Ukatupa ujasiri, na viongozi mahiri
Najivunia kuwa Mtanzania (Najivunia mtanzania)
Najivunia kuwa Mtanzania (Nchi yenye amani na upendo)
Najivunia kuwa Tanzania (Tanzania salama eeh)
Najivunia kuwa Tanzania (Nakupenda Tanzaniia)
Najivunia kuwa Mtanzania (Mimi mtanzania)
Najivunia kuwa Mtanzania (Taifa langu salama)
Najivunia kuwa Tanzania (Najivunia kuwa tanzania)
Najivunia kuwa Tanzania (Eeh nchi yangu)
Tanzania, Tanzania, Tanzania
Tanzania, Tanzania, Tanzania
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)