Tingiza
Vydra Dropper
paroles Vydra Dropper Tingiza

Vydra Dropper - Tingiza Lyrics & Traduction

Yoh n vydra manzee 

Me n pedi kishada nawakisha niko jaba mavella nachachisha chora 
Saba kwa lojo pigwa 
Tisa cheki ngeus thutha biggy ana 
Tingiza Tingiza gal Tingiza Tingiza gal Tingiza 
Tingiza gal you vydra me mziing bado mnoma kwa viding ati keja sikosi form 
Nina rungu nmejipin me huspin izo paka zinabaki zinaring 
Wanadai nmechizi na me gwiji nko rieng sina ndai kwa 
Mangoko dawa yao mjulubeng kuna nguna na msesa inabaki nku bend ati riba kujitepa 
Ka n luku nmekill nmedunga adi ngepa nko zabe nmechill na wasoro 
Kuhepa ndio silipi adi bill juu ya table n machupa 

Kulipuka na mandom tuna burn adi filter juu ya pedi toka ngong aah 
Me n pedi kishada nawakisha niko jaba mavella nachachisha chora 
Saba kwa lojo pigwa Tisa cheki ngeus thutha biggy ana 
Tingiza Tingiza gal Tingiza Tingiza gal Tingiza 
Tingiza gal you figa iko fyn but sura inatisha jegi zimestand 
Zinadai n saa sira waraz wamemuok wanadai kuchachisha hater 
Kunikuta itabidi umebisha vydra yoh badboy me n mnoma
 Waraz nawacatch nawashika Kama 
Homa usoro ukileta morio vheki utagoma yeah

Me n pedi kishada nawakisha niko jaba mavella nachachisha chora 
Saba kwa lojo pigwa Tisa cheki ngeus thutha biggy ana 
Tingiza Tingiza gal Tingiza Tingiza gal Tingiza 
Tingiza gal ukiwa bak bend bak bend napenda madenge wenye 
Jegi zimestand ati bak bend bak bend ukiwa ndani ya 
Dundas Tingiza izo thuthaa buda nko mboka na macheda ndo 
Nasaka cheki nmemuok mnamedi na madoba medi wa 
Mogoks na mariambez nawatoka venye nko kutu ndakuchimba shoti 
Tisa mambeko n mugatha ati vydra nawatesa you 

Me n pedi kishada nawakisha niko jaba mavella nachachisha chora 
Saba kwa lojo pigwa Tisa cheki ngeus thutha biggy ana 
Tingiza Tingiza gal Tingiza Tingiza gal Tingiza Tingiza gal. 
Yoh yoh vydra Keith bado ndio jina joh 
Vydra on the beat

Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment