paroles Vanessa Mdee Juu

Vanessa Mdee - Juu Lyrics & Traduction

Switch!!!
 
Kuna muda mi' nashindwa aah
Kufanya vitu vingi kwako natamani kutimiza
Hummmm hummm
Ila moyo
Unajua jinsi gani 'navyotaka kwenda sawa na wewe
Ila moyo
Unajua jinsi gani 'navyotaka kwenda sawa na wewe aaaahh
Na usione ka' navunja yako heshima
I‘ve been thinking about you all day
Na usione nadharau sababu ya jina
I‘ve been thinking about you all week baby

(Aaaahaa aaaahaa )
Nikipata umepata mama tunakwenda juu
(Aaaahaa aaaahaa )
Nikipata umepata baby tunakwenda juu
(Aaaahaa aaaahaa )
Nikipata umepata mama tunakwenda juu
(Aaaahaa aaaahaa )
Nikipata umepata mama tunakwenda juu baby
Hmmm juu baby hmmm

Yeah yeah
Upande wetu ndio muhimu
Kuwa pamoja mi' nawe
Usije 'nipa wazimu
Kisa nakupenda we
Kila wajua nafsi yangu
(Unayo wewe)
Na kila kitu changu
(Chako wewe)
Aaah Naumia naumia Vanessa Mdee
Ukienda nitaumia yeaaah iyee
Na usione ka' navunja yako heshima yeaah
Na usione nadharau sababu ya jina yeah yeah

(Aaaahaa aaaahaa )
Nikipata umepata mama tunakwenda juu
(Aaaahaa aaaahaa )
Nikipata umepata baby tunakwenda juu
(Aaaahaa aaaahaa)
Nikipata umepata mama tunakwenda juu
(Aaaahaa aaaahaa)
Nikipata umepata mama tunakwenda juu baby
Oh yeahhh  juu baby hmmm

Oh mamamia nakupenda Juma we
Tunakwenda juu baby
Ukiniacha nitalia eeh yeah

Forever me and you you you you
Everything we do do do do (Tunakwenda juu)
You're my baby boo boo boo boo
It's just me and you you you you (Tunakwenda juu)
Forever me and you you you you
Everything we do do do do
(Tunakwenda juu)    
You're my baby boo boo boo boo
It's just me and you you you you
I'm thinking about you you you you
Everything you do do do do
Only 'bout you you you you
Oh my baby you you you you
I'm thinking about you you you
Oh my baby boo boo boo boo
Only 'bout you you you you you you...
Aaaahaa aaaahaa…….
Nikipata umepata mama tunakwenda juu baby

Yeaaaaah yeaaaahhh… Usibadilike
Yeaaaaah yeaaaahhh… Usibadilike
Yeaaaaah yeaaaahhh… Usibadilike
Yoouuuuu…….
Yeaaaaah yeaaaahhh… yeaaaahhh  usibadilike

 


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment