Dhudha
Ssaru
paroles Ssaru Dhudha

Ssaru - Dhudha Lyrics & Traduction

Dhudha(Ssaru)
Riccobeatz Mr 808

Dhudha! niko na dhudha
Do you have dhudha, dhudha dhudha?
Niko na dhudha, niko na dhudha
Do you have dhudha, dhudha dhudha?

Nahurumia hawa ma-rapper wanatapa tapa
Ka umekosea njia bro pia unaweza nifuata
Nifollow nifollow mi ndio Cardi hapa
Mi ndio queen kwa hii game, mi ndio nyi mnataka
Queen B machine nasail kama Bata
Nyi ni mratina mi ndio wine hapa
Hii ndio routine inani-guide sasa
Mi ndio nafeel hii ni hit song bana ah

Ongeza volume wacha mi ndio nikubambe
Niko na kinyaru hapa huku ni kabambe
Halafu niko in love na chali mkambez
Saa ni shhh shhh ka-chain katambe
Mangeus washandwe hizo paka zigande
Peana hiyo kitu from Monday to Sunday
Toa hiyo kutu ndio rungu ing'are
Leta hiyo dudu nataka nikukande

Dhudha! niko na dhudha
Do you have dhudha, dhudha dhudha?
Niko na dhudha, niko na dhudha
Do you have dhudha, dhudha dhudha?

Ssaru wa manyaru nimekuja kuwakuta ah
Na ki Subaru nyi wote mshashtuka ah
Mi ndio guru nyi wote mnaiga ah
So ka ni ushuru mna-have kunilipa ah
Sikuhizi nimepanda bei mziki inalipa
Naogopa hizo madeni nyi huwa mnakopa
Ligi ya gold sio silver na copper
Na sina ball though niliacha kunyesha

Sa sitaki ketepa nitashindwa kucheka
Hata nigga kwa club atashindwa kuniteka
Sasa labda ki bazenga ndio kinishike mateka
Kika nisunde base halafu kianze kunitesa
Halafu nyi wote ma hater hamnipi pressure
Nataka tu pesa nianze kutesa
Ni ma looku mwenda niwakunywe bila chaser
Si unipe kinyaru nikusunde kwa chamber

Dhudha! niko na dhudha
Do you have dhudha, dhudha dhudha?
Niko na dhudha, niko na dhudha
Do you have dhudha, dhudha dhudha?

Dhudha! niko na dhudha
Do you have dhudha, dhudha dhudha?
Niko na dhudha, niko na dhudha
Do you have dhudha, dhudha dhudha?


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)