Yale umetenda
Yashangaza Bwana we
Viumbe vyote vinaimba
Utukufu wako wee
Yote umenena, kweli umetenda
Ona we ni mwema, Bwana wee
Yote umenena, kweli umetenda
Ona we ni mwema, Bwana wee
Pokea sifa pokea nNa heshima pokea
Utukufu pokea, wastahili mwenye enzi
Pokea sifa pokea nNa heshima pokea
Utukufu pokea, wastahili mwenye enzi
Pokea sifa pokea
Na heshima pokea
Utukufu pokea
Wastahili mwenye enzi
Yale umetenda
Yashangaza Bwana we
Viumbe vyote vinaimba
Utukufu wako wee
Yote umenena, kweli umetenda
Ona we ni mwema, Baba wee
Yote umenena, kweli umetenda
Ona we ni mwema, Baba wee
Vita ulishinda Baba
Kwa Yesu kuna raha (Raha Baba)
Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike
Duniani kama mbinguni
Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike
Duniani kama mbinguni
Yale umetenda
Yashangaza Bwana wee
Viumbe vyote vinaimba
Utukufu wako wee
Yote umenena, kweli umetenda
Ona we ni mwema, Baba wee
Yote umenena, kweli umetenda
Ona we ni mwema, Baba wee
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)