Nimechoka, roho yangu imeshindwa
Kuku weka, wasema mimi sina fedha
Ila nimekupa kila kitu we yoooo
Nimepima mambo note ya mapenzi
Na maua nimefanya ata bustani
Nikaipatia Jina yako we mama
Niache mimi niende wanipa funu
Toka niko nawe mpaka funu funu funu
Natia roho sakafu haunipe jibu
Ata mina ku sifu, mpaka funu funu funu oh
Am lost in you baby
There is nothing I wouldn't do
To make it right
Show we rewind
There is nothing I wouldn't do
To make it right
Am lost in you baby
There is nothing I would't do
To make it right
Show we rewind
There is nothing I would't do
To make it right
(Iiiii....iiiii)
(Iiiii....iiiii)
Nipe muda, nataka tuzungumuze
Tu jaribu kuipanda hii mlima
Ila weye haupendi suluhisho
Ukipumua, magoti yangu ni zaifu
Ona nyota nimetiya mawinguni
Nikaipatia jina yako
Niache mimi niende wanipa funu
Toka niko nawe mpaka funu funu funu
Natia roho sakafu haunipe jibu
Ata mina ku sifu, mpaka funu funu funu oh
Am lost in you baby
There is nothing I wouldn't do
To make it right
Show we rewind
There is nothing I wouldn't do
To make it right
Am lost in you baby
There is nothing I wouldn't do
To make it right
Show we rewind
There is nothing I wouldn't do
To make it right
(Iiiii....iiiii)
(Iiiii....iiiii)
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)