paroles Scar Mkadinali Stoko

Scar Mkadinali - Stoko Lyrics & Traduction

For real! Yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah

Kwa Benzo mdogo mdogo
Kenya imejaza ma pothole
Naenda kuiwasha kidogo
Usoro ni mingi napitia maorosho
Ndo wifey ametoka kwa soko amekuja na stoko
Wako ameshinda kwa social
Na uko msoto siku hizi ni poko

Hater anashikwa kilocal
Kia UG kiBongo
Nilimpata akitoa lock
Mairungi kinongwe
Ngeta anapigwa mangoto
Huna pesa na umeshinda kwa local

Unasumbua watoto wadogo
Ulifanya karibu nipige mapopo
Zii zogo ni zogo kuja umworoto
Siku hizi wanasema ni Portmore

Nimekula kokoto kushinda msoto
Magoro zinapigwa makoto
Baby jichunge hii kitu ni nono
Isitume niruke libobo

Naseti kikolo zifike kwa bongo
Alafu nadunga ya ngolo aaah
Kwanza umekuja na mbonoko kuteka ngoko
Mbleina wa IG na mamboto za Oppo

Mi kukumbuka ilikuwaga ni ndoto
Manze mi hujieka lonso
Vijana wa YOLO there is no tomorrow
Mrenga twende kuweka offroad

Baada ya ngasha paka sabuni sinanga lotion
Inawasha nina kiburi sina emotions
Msupa kigoco lakini vile ameng'ng'ana na ngoso
Napiga mhuri vizuri hii kitu ni bombo

--------
------


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)