Rhumba Japani
Sauti Sol
paroles Sauti Sol Rhumba Japani

Sauti Sol - Rhumba Japani Lyrics & Traduction

Kuna rhumba ya Juja na ni ya maboy
Ukisaka mitumba enda rhumba ya Toi
Kuna rhumba ya Kibich utajua hujui
Kuna rhumba for all you niggas
Ila rhumba Japani ndio rhumba

Kuna rhumba ya State House iko chini ya maji
Kuna rhumba ya bunge ni ya majambazi
Ukileta ujinga utalala ndani
Kuna rhumba for all you niggas
Lakini rhumba Japani ndio rhumba

Hapa ni wapi?
Tumezungukwa na shisha na shahsamani
mapochopocho na vinywaji mbali mbali
Wengine wanatapika wakizirai

Hapa ni wapi?
wanatutwanga mapicha ni paparazi
Tumezungukwa na warembo geti kali
Tunazitoka na style za kizamani

Kuna rhumba ya Westy, ya mabeshte
Wa mashinani, shake your waiste
Rhumba ni nyepesi, isikue kesi
Kuna rhumba for all my niggas
Ila rhumba Japani ndio rhumba

Kuna rhumba Karura, ya kupanda miti
Ukiwa Koinange, hakunaga risiti
Rhumba Oyole, hio ni ya mangwati
To all of my hoes and all of my niggas 
Rhumba Japani ndio rhumba

Hapa ni wapi?
Tumezungukwa na mabouncer kama chwani
Kuna mapedi mapoko pia mapinji
Na wanaseti michele kwenye vinywaji

Hapa ni wapi?
Kuna visanga vioja mahakamani
Wapenzi wapigana mate hadharani
Wengine wanatekana nyuma ya taxi

Nitie rhumba obunga
Mano mar jothurwa
To kida bilo mbuta
Rieri yo manyata

Yawuoi orwaka akala
To nyiwa ondiso avunja
Kuna rhumba for all you niggas
Lakini rhumba Japani ndio rhumba

Aaaaaaah, aah....
Sol Generation you know
Hii shit imeniweka zone
Inatamba aaah..

Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje
Kwa foleni, na raia wako ndani
Wajivinjari, wanazitoka 
na style Ni za kiodi

Hapa ni wapi?
Mawochi wote wameleta utiaji
Wakafungia wakubwa nje ya party
Wakaachia ofisi wafanyikazi


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment