Uuuuh Karuga
Piga hiyo supu bwana
Gurumisha hiyo mboshori bwana
Githideeeee! Oka!
(Its your favourite boy)
(Kashkeed on the track)
Mwaki, hakuna kitu inabaki
Na hao madem wamevalia makhaki
Skunking moshi mbili na majani
After this tupatane magizani
Kujanki msondo zitolewe parking
Mzieke ready ready zianze kujumping
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Ka
Leo ni project 10 twawateka
Nipate mi baze nipate na mapaka
Ni mapanya tuko bizzy tukisaka
Hizo panya route leo tutafyeka
Nilikaspot kwenye club kakibanju
Body fine nikawine kamekwachu
Kumbe kukacheki ni kabantu
Hakapendi high heels zake low shoes
Kwake ni marepeat sio 1, 2
Nikawache kamebleki kwani ifew
Mwaki, hakuna kitu inabaki
Na hao madem wamevalia makhaki
Skunking moshi mbili na majani
After this tupatane magizani
Kujanki msondo zitolewe parking
Mzieke ready ready zianze kujumping
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Ka
Buda ombulu ombululu
Nikileta mburukanga kama kunguru
Nyungu manyungu manyunguru
Unajifanya kishash na ngeus we ni kinyaru
Mbona mnaniguthura kwa ndoto
Mi Shalkido kijana wa majoto
Sitambui mi hutaka hadi poko
Wakiroria nina mbogi toka Potmo
Chapanisha turi ushinde kama Lotto
Manyodo manyodo juu mboko mboko
Na Mugedi apewe ngafi apate joto
Ajifanye wamutheru nimkule soko
Ni kumwaga chap chap ka Uber za Masonko
Mwaki, hakuna kitu inabaki
Na hao madem wamevalia makhaki
Skunking moshi mbili na majani
After this tupatane magizani
Kujanki msondo zitolewe parking
Mzieke ready ready zianze kujumping
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Ka
Nimetoka kwa wenyewe
Nimetoka kunyandua dem wa wenyewe
Nyumba haulipi champe hebu sare
Zikiriet makejani ni Mathare
Na kapin kanashikwa na muhare
Stingo mingi na ukikora tu ni mabare
Inadi chach leo ninateka nani
Hapendi dhambi anajua niko na nani
Kunye paradiso lakini jo tunaburn
Fry liver leo tulikuja na pan
Ambia Ezekiel ya ni fun hawezi ban hii
Traki day one tunagonga laki
Mwaki, hakuna kitu inabaki
Na hao madem wamevalia makhaki
Skunking moshi mbili na majani
After this tupatane magizani
Kujanki msondo zitolewe parking
Mzieke ready ready zianze kujumping
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Ka
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)