Uuuuh Uuuuhh...
Matwikire thathi
Jeso Christ
(Mavo on the Beat)
Saitani ah wee
Achana na life yangu gathee
Nishajua God ndio Fathee
Kila mtu mi huiita bazeng
Jeso ni Mwathani(Amen)
Ni Mwathani(Amen)
Jeso ni Mwathani
Ni Mwathani, ni Mwathani(Amen)
Bila ye life ni
Fogothare, Fogothare, Fogothare
Fogothare, Fogothare, Fogo!
Fogothare, Fogothare, Fogothare
Fogothare, Fogothare, Fogo!
Jeso ni Mwathani(Amen)
Ni Mwathani(Amen)
Jeso ni Mwathani
Ni Mwathani, ni Mwathani(Amen)
Toka mashinani amenitoa magizani
Mathena mathena nimeishi mashidani
Sosho akanilea na mashida mingi flani
Nakugoja idhaa yako tuliishi kanisani
Ka ni ka mob justice nimeuma
Vijanaa kuchomwa jo hii huuma
Jesus wept, aminia gathee
Kiufogothare, sema Amen ifanyike
Kifogothare blessings zimwagike
Kiunathare msitulie tuchachishe
Jeso ni Mwathani(Reke ngutavye)
Na ni Mwathani(Ngutavye)
Jeso ni Mwathani(Ngutavye)
Na ni Mwathani(Ngutavye)
Jeso ni Mwathani(Amen)
Ni Mwathani(Amen)
Jeso ni Mwathani
Ni Mwathani, ni Mwathani(Amen)
Bila ye life ni
Fogothare, Fogothare, Fogothare
Fogothare, Fogothare, Fogo!
Fogothare, Fogothare, Fogothare
Fogothare, Fogothare, Fogo!
Jeso ni Mwathani(Amen)
Ni Mwathani(Amen)
Jeso ni Mwathani
Ni Mwathani, ni Mwathani(Amen)
God umenitoa place flani
Then umenishikilia toka mbali
Ka ni chuom mguu tupu kama punda
Kijijini watu we walibonga
Na wazazi walikuwa wamehunyoka
Na masiz waliishi kwa wakunga
Wengi wao wakidai kunivuruga
Nawaomba wanasema nina pupa
Sasa cheki blessings zinajaa ifufa
Umenibless wanasema Gai Fafa
Jeso ni Mwathani(Amen)
Ni Mwathani(Amen)
Jeso ni Mwathani
Ni Mwathani, ni Mwathani(Amen)
Bila ye life ni
Fogothare, Fogothare, Fogothare
Fogothare, Fogothare, Fogo!
Fogothare, Fogothare, Fogothare
Fogothare, Fogothare, Fogo!
Jeso ni Mwathani(Amen)
Ni Mwathani(Amen)
Jeso ni Mwathani
Ni Mwathani, ni Mwathani(Amen)
Hohehahe nimetoka hohe
Dem days ata sikuwa na ngohe
Ungenipata tu baze nimebohe
Bila sure bet ati nita joy
Pumzika sijakam kuwaombea
Kunizika kadhani nitaozea
Blessika nashukuru mi namea
Kismat juu shosh huniombea
Bila ye ningekuwa nateketea
Injili singekuwa nanyenyekea
Jeso ni Mwathani(Amen)
Ni Mwathani(Amen)
Jeso ni Mwathani
Ni Mwathani, ni Mwathani(Amen)
Saitani ah wee
Achana na life yangu gathee
Nishajua God ndio fathee
Kila mtu mi huiita bazeng
Bila ye life ni
Fogothare, Fogothare, Fogothare
Fogothare, Fogothare, Fogo!
Fogothare, Fogothare, Fogothare
Fogothare, Fogothare, Fogo!
Jeso ni Mwathani(Amen)
Ni Mwathani(Amen)
Jeso ni Mwathani
Ni Mwathani, ni Mwathani(Amen)
Rejoice in the Lord always
And again I say rejoice
Rejoice in the Lord always
And again I say rejoice
Rejoice!
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)