Nibariki
Rose Muhando
paroles Rose Muhando Nibariki

Rose Muhando - Nibariki Lyrics & Traduction

Nimechoka mateso
Nimechoka tabu
Baba mungu naja kwako
Nibariki na mimi
Kila siku taabu
Kila siku kilio
Machozi na huzuni baaba
Wenzangu wananicheka
Nipitapo kwenye taabu
Baba naja kwako
Nibariki na mimi
Nimechoka kutamani vitu vizuri vya wenzangu
Nami nakuja kwako
Nibariki na mimi
Ikiwa ni laana
Ikiwa ni mikosi
Ilikwisha msalabani baaba
Neno lako linasema
Niite nitaitika
Nami nakuita bwana
Nibariki na mimi
Nibariki nibariki nibariki
Bwana
Nibariki nibariki uniguse bwana

Majirani wananishanga
Wengine wananichekaa
Eti! kwasababu ya shida mimi
Nimekua kituko nikipita kwa wenzangu
Nimekua kichekesho mimi
Watoto wangu wana shida
Ndugu zangu wantaabu
Yesu nakuja kwako
Nikumbuke bwana
Nami nimekua mumini
Nami nakungojea uje
Kwako nanyenyekea
Nibariki na mimi
Nimechoka mateso baba
Nimechoka kilioo
Nimechoka taabu
Nibariki bwana
Nibariki nibariki nibariki bwana
Nibariki nibariki uniguse bwana


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment