Shilingi
Reekado Banks feat Mbosso
paroles Reekado Banks Shilingi

Reekado Banks - Shilingi Lyrics & Traduction

Shilingi yang'ara ng'ara
Shilingi yang'ara

Naapa kwa biblia
Nashika na masahafu
Naapa mbingu dunia aaaah

Funika kabakuli funua
Moyo wa furaha
Sura za mafedhuli
Nyeusi fii zimewafura
Wasome kwa zaburi wagalatia
Hawashindi kudura
Hili penzi tanuli wakiwamia
Litawavulula
Honey kuna nazi
Mi nikamue tui
Tule wali mbaazi
Yetu mapocho pocho
Kisha tuanza kazi
Usiku kwa asubuhi
Mwali tumwage radhi
Mambo ya socco socco

Penzi sarafu
Ina pamde mbili
Shilingi yang'ara ng'ara
Mwenge wewe
Bichwa mie
Shilingi yang'ara
Vidole juu
Tuwalingishie
Shilingi yang'ara ng'ara
Doli doli samwela
Shilingi yang'ara

When you by my side
No worry dey
When you there
Nobody there
Take over my whole space
Rock my white shirt

Oh dance Asake
Anything for you Asake
Sometimes the body might be too lazy
But when you call me
I go fisi

Omo to dun bi waakye
Se kin waje
Sometimes the pocket may be too low
But when you call me I go still show
Malo fumble
E go pain me gan ni
'Cause I love you
And I want to give you all my love
If we argue
Se lo te mi lo run
Te mi lo run

Penzi sarafu
Ina pamde mbili
Shilingi yang'ara ng'ara
Mwenge wewe
Bichwa mie
Shilingi yang'ara
Vidole juu
Tuwalingishie
Shilingi yang'ara ng'ara
Doli doli samwela
Asa baby komesha

Jishembe jishembendue
Jisheee
Jishembe jishembendue
Jishaue baby
Jishembe jishembendue
Wajue mashauzi (jishee)
Umezaliwa nayo
Jishembe jishembendue
Deka deka
Jishembe jishembendue
Komesha vunyunguruta
Jishembe jishembendue
Wambie sisi gari la petrol (jishee)
Wasije iba mafuta


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)