paroles Rayvanny Tetema

Rayvanny - Tetema Lyrics & Traduction

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)

Its s2kizzy baby

Tetema yaani kama umepigwa shoti
Tetema nipe migandisho ya roboti
Tetema ukutani hadi kwenye kochi
Tetema kwenye giza mama shika pochi

Katoto kamenoga
(ooh mama)
Nakapandiza za bukoba
(ooh mama)
Nakapadisha bodaboda
(ooh mama)
Kakichoka kuchuma mboga
(ooh mama)
Aaai mama shigidi aah
Nakufa wooi wicked aai
Aaai mama shigidi konki
Fire, moto, liquid

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)

Tetema!
Yaani kama vile generator
(tetema)
Kama mwizi kakupiga ngeta
(tetema)
Mwendo wa kutwanga kupepeta
(tetema)
Chini nikipuliza tarumbeta
Asa wooza! Wooza!
Cheza shogoloza
Kufa chali kama mende
Maria Roza poza tungi limepoza
Twende nikupige nyembe
(brrr... Okay)
You make my mind go kolo
(kolooo... kolo)
Ukinuna tu mie doro
(Dorooo... doro)
Washa!
Saa nipe za digidigi
Washa!
Miuno ya giggy giggy
Washa!
Funga kibindo mkwiji kwiji
Washa!
Nikunyonge ka ziggy ziggy
Teeete!

(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)

Ayo Lizer,
Chiii!!

Kichaa kime-kime-kimepanda
Ame wehuka
(Kime-kimempanda)
Kapandisha mizuka
(Kime-kimempanda)
Ana ruka ruka
(Kime-kimempanda)
Kichaa kime-kime-kimempanda
Kapanda juu ya meza
(Kime-kimempanda)
Eti anavua shati
(Kime-kimempanda)
Kalewa anacheza
(kime-kimempanda)
Yaani varangati
Wasafi


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Paroles de chansons de Rayvanny

Sélection des chansons du moment