paroles OUR LADY OF FATIMA KONGOWEA CATHOLIC CHOIR Uninyunyizie Maji

OUR LADY OF FATIMA KONGOWEA CATHOLIC CHOIR - Uninyunyizie Maji Lyrics & Traduction

Uninyunyizie maji (Bwana)
Uninyunyizie maji (Bwana)
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa

Mimi ni mwenye dhambi (Bwana)

Natamani nije kwako (Bwana)

Naingia nyumba yako (Bwana)

Niuone uso wako (Bwana)

Nifurahi milele (Bwana)

Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)