Pizzo De
You know it, You know it
8 Town, 8 Town, 8 Town, 8 Town
Pizzo De you know it
Nilianza nilianza enzi za ukoo
Lakini bado leo huski bado nang'aa
Mother alihustle sana shule nilimada
Na tulipata kwa chang'aa
Nikiamka mi hushtuka sana
Kwani kuliendaje ndo tukafika hapa
Tulisota tukasota sana
But sikuwahi give up nashukuru Jah Jah
Kuchangisha nilichangisha mama
Nakumbuka pesa zako zile zote za chama
Walikula kila siku nyama
Si pale kando ni mate tamaa (Njaa njaa..)
Mama natamba
Nawish ungeona venye siku hizi nang'aa
Tamaa niliacha
Nakula nyama zote zenye nafaa
Mama natamba
Nawish ungeona venye siku hizi nang'aa
Tamaa niliacha
Nakula nyama zote zenye nafaa
Mbby, nasema mbby
Mbby, anadai anadai
Na mtoto akililia wembe
Atawai atawai
Nasema mbby, anadai anadai
Na mtoto akililia wembe
Atawai atawai
Walai mangwai
Siezi lie daily niko high
Sijawai sitawai
Kuchochwa hapa kule na hype
Napaa nang'aa
Pewa moshi daily shada
Nashangaa mama
Nawish ungekuwa asapa
Ma Gucci na Prada
Ungevaa kila kitu nataka
Pamba za white
Kabla ukae chini wanawide
Mama natamba
Nawish ungeona venye siku hizi nang'aa
Tamaa niliacha
Nakula nyama zote zenye nafaa
Mama natamba
Nawish ungeona venye siku hizi nang'aa
Tamaa niliacha
Nakula nyama zote zenye nafaa
Mama mama mama mama
This is dedicated to all of you
That got successful too late
We got successful too late mama
8 Town the Don
Mama nang'aa
Nawish ungekuwa asapa
Mama nang'aa
Nawish ungekuwa asapa
Nane nane nane
Namba nane nane nane
Pizzo de you know it
(Imeweza)
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)