Malaika
Nandy feat Mbosso
paroles Nandy Malaika

Nandy - Malaika Lyrics & Traduction

[Nandy]
Nionyeshe maana ya upendo
Nikuonyeshe dhamira ya upendo
Ninogeshe pineapple na mango
Ushapata mwana waumize vipengo
Siwafichi, siwafichi
Leo naweka wazi wazi
Kama penzi lingekuwa chuzi
Limekolea nazi nazi
Siwafichi, siwafichi
Leo naweka wazi wazi
Ah, na hivi umeshushwa ama umeumbwa
Au umetoroka peponi we?

[Nandy]
Malaika, Malaika
Wewe ndo wangu Malaika
Umekosa tu mabawa
Ila we wangu Malaika
Malaika, Malaika
Wewe ndo wangu Malaika
Umekosa tu mabawa
Ila we wangu Malaika

[Mbosso]
Ni Mbosso Khan tena
Mbingu ya kwanza, mbingu ya pili mpaka ya tatu
Baby kamata simbilisi katumbukia shimo la chatu
Ufunge kanga malonyalonya hata upatu
Utatarike kama bisi nikiyachoma makwasukwasu
Malaika
Bado siamini mimi
Naona kama ni miujiza (Miujiza)
Asilimia tisini walisema tunaigiza (Tunaigiza)
Wakajipa udhamini kwenye imani nguvu za giza
Mara ohh wa nini?
Ana nyota ya yai viza
Ona sasa onaaa...
Okotsha yeiyei
Tupo kwa Mwamposa
Everyday penzi kudondoka
Nei nei sababu wewe ndo wangu Malaika

[Nandy]
Malaika, Malaika
We ndo wangu Malaika
Umekosa tu mabawa
We ndo wangu Malaika
Malaika (Malaika), Malaika (Malaika)
Wewe ndo wangu Malaika
Umekosa tu mabawa (Malaika)
Ila we wangu Malaika
Malaika, Malaika
We ndo wangu Malaika
Umekosa tu mabawa
We ndo wangu Malaika
Malaika, Malaika
Wewe ndo wangu Malaika
Umekosa tu mabawa
Ila we wangu Malaika


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)