Amini kamba mzee wa Bwax
Hapa mtoto wa nje ya ndoa
Ugoko wa mende biskuti ya chuma
Kata tuone chuma kwa chuma cheche
Mi nasema we dada naomba unikomee
Mtoto wa mwenzio
Namba unayopiga hipatikani
Hebu mpe kimeo
Mi nasema we dada naomba unikomee
Mtoto wa mwenzio
Namba unayopiga hipatikani
Hebu mpe kimeo
Ah we dada unaniboa
Hapa kwangu umenoa
Na mtaani kote wanakujua
Bingwa wa kusasambua
Unajikuta wa masaji
We kumbe wa uswahilini
We kidemu cha mwendo kasi
Mi nikutake unanini?
Wewe unapenda kudanga
Wanakuita paka la baa
Umegombanisha mabwana
Mtaani umezua balaa
Eti pochi kubwa haina hela
Ndani ina vipodozi
Habari zako ninazo
We dada unatumia dozi
Mmmh juzi umenikopa losheni
Unaongoza kwa madeni
Ah we dada unapenda vibenteni
Kwenye shughuli utunze bosheni(Mamaaa)
Mi nasema we dada naomba unikomee
Mtoto wa mwenzio
Namba unayopiga hipatikani
Hebu mpe kimeo
Mi nasema we dada naomba unikomee
Mtoto wa mwenzio
Namba unayopiga hipatikani
Hebu mpe kimeo
Ah we dada unaniboa
Hapa kwangu umenoa
Na mtaani kote wanakujua
Bingwa wa kusasambua
Ah vigodoro havikupiti we ni noma
Nasi tuna sare mpya za vigoma
Nasikia ukipata bwana unamuendea kwa sangoma
Na mi mwenyewe kwetu nimeaga usinichukulie poa
Oooh amini kwamba mzee wa Bwax
Hapa mtoto wa nje ya ndoa
Ugoko wa Mende biskuti ya chuma
Kata tuone we malota mama
We mbele kidogo ayii
We nyuma kidogo
Katikati kidogo(Mama)
Pembeni kidogo
Kama vipi ilete
Haisomeki ilete
Taratibu ilete ilete
Ifinyie kwa ndani
Ilete umo umo ilete
We mama ilete ayii ilete
Taratibu, orara rire rara..
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)