Tukigombana usiogope tukutane status
Mama tukinyooshana viwanja tukutane status
Uwe kama una kiswasa mtaandaoni atakuoana nani
We simu yako simu Nokia ya tochi
Mwezangu atakuoana nani
Ona najisnapu, piga picha
We simu yako simu Nokia ya tochi
Mwezangu atakuoana nani
Ona najisnapu, twende Insta
Mwenzetu una kibatari
Mtandaoni atakuoana nani
We yule dada ana danga jipya
Ameliposti status
Jirani yangu amenunua gari
Ameliposti status
Kumbe wa bia za offer
Ameliposti status
Mpaka kiingilio kalipiwa
Ameliposti status
Ona najisnapu, piga picha
We simu yako simu Nokia ya tochi
Mwezangu atakuoana nani
Ona najisnapu, twende Insta
Mwenzetu una kibatari
Mtandaoni atakuoana nani
Tukigombana usiogope tukutane status
Mama tukinyooshana viwanja tukutane status
Uwe kama una kiswasadu mtaandaoni atakuoana nani
We simu yako simu Nokia ya tochi
Mwezangu atakuoana nani
Okay ah Tamimu hapa
Nasema washa data mwanagu kama una bando
Eeh bwana twende Insta
Waonyeshe kama una tambo
Wale wote wenye viswaswadu
Hawawezi kujiposti
Ooh nasema siku hizi mwendo wa Snapu
Ka una tambo we jishuti
Oh jamani twende Tiktok, twende Whatsapp
Hizo ni status zako ka nina mbaya nkumesave
We jirani sikuoni Twitter, sikuoni Insta
We kumbe una kiswaswadu mwenzangu atakuona nani?
Mwenye Nokia ya tochi ya zima tambo
Usiogope kulog out
Ukiwa ndani na mume wa mtu
Usiogope we jiposti
Uswahilini ukifumaniwa tunashoot tukipost
Mama tuonyeshe wako uchizi nionyeshe ukichaa
Mpaka chini mwendo wa kisamba ka unachuchumaa
Eeh Bwana ngoshi ana zigo kubwa kaliachia
We ndani ya dera linaonekana kaliachia
Ikolembele ana zigo kubwa kaliachia
We ndani ya dera linaonekana kaliachia
Gigy Money, twende chini usiogope shika magoti
Ukitikisa halitikisiki ni ka roboti
We si ulisema nikipata tambo utanitumia
Ona smizi mwendo wa smarti basi nipe connection
Irene Uwoya mtoto wa mjini basi nipe connection
Wanjala mtoto wa mjini basi nipe connection
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)