Usiku Wa Leo
Mr. Puaz
paroles Mr. Puaz Usiku Wa Leo

Mr. Puaz - Usiku Wa Leo Lyrics & Traduction

Usiku wa leo masela tupo ndani ya party
Wote tunaruka tunadance na ma-shawty eeh eeh
Eeh eeeh wote tumebling eeh eeh
Dance kwenye flow and dancing ohhh
Kata kati ooh, Please weka mikono hewaaani, eeh eeeh

[Structure P ]
Usiku wa leo ndani ya party si mchezo
Pilipili kibao lazima kuna mauzo
Hapo nimekubali kwa wengi itakuwa gumzo
Hey Mr. Dj embu shusha mijazo
Iliyokwenda shule kwetu iwe ni funzo
Ruka ruka dance tufurahi kwa pamoja
Sijaona mi sababu ya we kungoja
Embu nipe raha , nijidai, nifurahi
Ikiwezekana basi wote tujidai
Hii nafasi yangu mimi mwenyewe tu
Na sintomind kuona hapo mtu
Mum nipe raha tushangaze hawa watu
Cheki masister du ndani ya bli walivyoshine

Hapa hakuna juice watoto wote ni wine
Simu zote mezani hakuna kwenda hewani
Waliovaa kanga naomba watupe chini,
Hili ni night party na hatupo msibani
Embu mcheki sister mwenye kitopu white
Kweli nimekubali anakwenda na wakati
Amekatika kati mpaka kashusha sketi
Mwanadamu hamu sina hamu wafahamu
Najiepusha sana na matendo haramu
Chunga sana mah hapa kuna HIV
We ukichoka basi macho kwenye tv au ushike MIC
Kuliko ule raha na wale ma VIP
Heri tu uje tubanane na mimi Structure P

Usiku wa leo masela tupo ndani ya party
Wote tunaruka tunadance na ma-shawty eeh eeh
Eeh eeeh wote tumebling eeh eeh
Dance kwenye flow and dancing ohhh
Kata kati ooh , Please weka mikono hewaaani, eeh eeeh

[Mr Puaz ]
Pata taswira kali pitia yangu mashairi
Muda mfupi ujao utapata jibu kamili
Hutakiwi kuwa lonely ukajapigwa magoli
No time to watse fungua yako akili
Tafuta zako pene kisha nyingi uzichange
 Jiweke sop kimwili, kila upande
Andaa zako bling upte wakuite King
Na masister duu mapozi waitwe queen yeah
Uzivae zikukae, fresh kwako mwilini
Piga full white simu sikioni una chat
Muda ukifika usiku wa leo upo fiti
Tujidai tufurahi milupo kwanza baadae
Ach babaika kacheze na umpende
Hapa Niz b utanikuta niko bling

[ Eddy G ]
Hapa bling bling toka juu mpaka chini
Kwa monekano hii party itakuwa makini
Msister duu mabrother men ndo usiseme
Yani usiku wa leo upo full usipime
Kwenye sekta ya vinywaji eeh bana kila kitu ni shwari
Kila kitu kipo yani mpaka pombe kali
Wapenda ulabu sekta yenu haina tabu
Ukikosa babu yani itakuwa aibu
Bora uwahi kuna muda wa dinner
Yani usiku wa leo usikose fanya him,
Ni part ya kistaarbu ya kupata ulabu
Ni eddy G usiku wa leo nipo Club

[3 Structure P ]
Hatiyani kurupushani zako
Sasa nimekubali na nimevuta picha karibu mfasili,
Nimemix sana misemo na methali,
Kweli hili ni bonge la party si mchezo
Watu wanavyoshake embu mcheki Nizo
Hivi hujaamini kama kweli hili gumzo?
Basi nipe raha nile raha kwa furaha isijekuwa bala mwishoni ikawa karaha
Hivi ni nini unachotathmini, kichwani akilini
Pand jukwaani utupe tafrani makini kwa yakini
Walakini no mi nasema nooo
Au kama unabisha embu sikia michano, leta migongano,
Wala si malumbano, hili ni fataki kimantiki maah
Ndo mana sihikiki sitamaniki mah


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)