Sio Fair
Moni Centrozone
paroles Moni Centrozone Sio Fair

Moni Centrozone - Sio Fair Lyrics & Traduction

Na tunachill kwenye sofa leo
Hatuendagi madisco
Mtoto kuwa fast 
Cheki hizo pistol

Komesha madem wanaojifanya wako fair
Komesha mpaka waishie kwenye wheel chair
Kwanza city cousin, kama bia dozen'
Tingisha hizo pistol ukiwa na mchongo ndo anibambe
Akili za gambe komesha wapambe
Nina mkwanja kwenye wallet sio mpaka nijichange

You better know man I'm crazy, kwa penzi lazy lazy
Fair sizichezi, fisi wa mitaa ya Mbezi
Ondoa hizo nyegezi kwa mkwanja wa mapenzi
Napiga mara moja tu upendo siuwekezi

You better know sio fair, sio fair
Sio fair, sio fair
Sio fair, sio fair


Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)