Mwanzo mwisho, mwanzo mwisho
Mwanzo mwisho, mwanzo mwisho
Mwanzo mwisho, mwanzo mwisho
Mwanzo mwisho, mwanzo mwisho
We so biz, kutafuta life mwanzo mwisho
Ndio kwanza tunakaza, tuamini kwenye vitisho
Na hii ni pigo kwa machizi wanaoletaleta michoshi
Pigo kwa machizi wenye roho za kimido
So what? Waambie hatuogopi changamoto
Hatuogopi misemo kama ujana maji ya moto
Wengi wanachonga chonga japo maisha yao local
Piga kofu, piga ukonga ndo utajua Bongo nyoofu
Eeh mi mwendo wa kukaza(Mwanzo mwisho)
Hakuna time ya kulegeza(Mwanzo mwisho)
So 'get town' was my hood(Mwanzo mwisho)
Yeah yeah yeah yeah (Mwanzo mwisho)
Changa karata yako mwana(Mwanzo mwisho)
Maisha ya mtaani learner(Mwanzo mwisho)
Tunatokea mlo moja(Mwanzo mwisho)
Basi defua abra cadabra(Mwanzo mwisho)
Eey naskia watu walikula bata ni zaidi ya kaya mwisho
Nimetoka kwetu na mabegi, nauli ipo
Form 6 chuo kikuu nimekaza mwanzo mwisho
Si toto wamba nami moshi Kingstone
Sasa sikosei kufanya kweli kwenye hizi battle
Na huwa singojei kumake hit ka za Lucky Awa wa gato
Smart street, simezwi na binti ndio yangu mikato
Kitambo mchela hukuwa unafeel skills za Bobby Michato
Je habari nzuri kwamba, nimetoka mbali
Habari mbaya kwamba, ninakwenda mbali
Toka enzi za majanga, bapa na misumari
Niko na mkalo Tanga, Mavoko sioni hatari
Hey foleni studio, nikakaza mwanzo mwisho
Usafiri mwendo kasi, mwanzo mwisho
Kosa hapa Centrozone Soldier, mwanzo mwisho
Na nakimbia mbio zangu nipo mwanzo mwisho
Eeh mi mwendo wa kukaza(Mwanzo mwisho)
Hakuna time ya kulegeza(Mwanzo mwisho)
So 'get town' was my hood(Mwanzo mwisho)
Yeah yeah yeah yeah (Mwanzo mwisho)
Changa karata yako mwana(Mwanzo mwisho)
Maisha ya mtaani learner(Mwanzo mwisho)
Tunatokea mlo moja(Mwanzo mwisho)
Basi defua abra cadabra(Mwanzo mwisho)
Iye, iye, iye, iye
Iye, iye, iye, iye
Iye, iye, iye, iye
Iye, iye, iye, iye
Heheyaa, tulia ulambe dawa
I say, tulia ulambe dawa
Iye, iye, iye, iye
Iye, iye, iye, iye
Iye, iye, iye, iye
Iye, iye, iye, iye
Heheyaa, tulia ulambe dawa
I say, tulia ulambe dawa
Paroles2Chansons dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)